Kamanda wapolisi singida ametuacha hoi
ameanza kusimamisha madereva wa mabasi na kuwapima kama wamelewa
alipoulizwa kwanini wawapime mwezi huu na sio sikuzote ati mwezi huu vijana wengi wanaweka pombe kwenye chupa ya maji kumbe viroba
hivi wakuu na id makamanda wa polisi wengine hivi vifo vya ajali majuzi hamkuviona mpaka mnakuja kujionyesha xmass
angalizo
soon utawaona sumatra pale stand yamkoa napolisi wakikagua mabasi na bei kama vile miezi mingine tunaruhusiwa kufaw jamani
kwa nini wasikague kila siku
pombe ziko kilasiku why upime december tu??tena unajibu mwezi huu madereva wengi sikukuu wanakuwa wamelewa
uwii

Pdidy we una utani na akina @mkiruwa miss chagga Eeka Mangi @hon: aikambe Mangimeli Mungi okaoni EDImond ringo MankaM hawakawii kukuambia wao ni taifa la Mungu.
Kamanda wapolisi Singida ametuacha hoi,ameanza kusimamisha madereva wa mabasi na kuwapima kama wamelewa.
Alipoulizwa kwanini wawapime mwezi huu na sio siku zote ati mwezi huu vijana wengi wanaweka pombe kwenye chupa ya maji kumbe viroba.
Hivi wakuu na ID makamanda wa polisi wengine hivi vifo vya ajali majuzi hamkuviona mpaka mnakuja kujionesha xmass?
Angalizo
Soon utawaona sumatra pale stand ya mkoa na polisi wakikagua mabasi na bei kama vile miezi mingine tunaruhusiwa kufa jamani,kwanini wasikague kila siku?
Pombe ziko kila siku why upime Disemba tu tena unajibu mwezi huu madereva wengi sikukuu wanakuwa wamelewa.
Na wewepdidyumelewa viro banini?
wangeenda hata kunywa beer barulitaka wafanye lipi ambalo unaona lingekufurahisha? Mwanaume usipende kukosoa kila jambo acha ungese!
Mkuu Pdidy topic yako inahusu niniAmeen.......
Pdidy we una utani na akina @mkiruwa miss chagga Eeka Mangi @hon: aikambe Mangimeli Mungi okaoni EDImond ringo MankaM hawakawii kukuambia wao ni taifa la Mungu.