Haya magari ya Kichina sio ya kushobokea sana, kulikuwepo na magari toka Korea yanaitwa KIA Mini bus mfano wa Coaster. Zilikuwa nzuri sana lakini zilishindwa kuhimili mikikimikiki ya barabara za kwetu. Pia walikuwa na magari yao madogo (nimesahau jina lake) ambayo mengine walipewa hata polisi, yalionekana mazuri sana kwa umbo, ila ndio hivyo yalishindwa kabisa mtanange wa hizi barabara zetu.
Mimi ninadhani hata wewe una akili kuliko wachina na ndiyo maana uko vizuri kiuchumiWachina ni watu wasio na akili.
Kila kitu wanachotengeneza wamekopi teknolojia yake. Hayo magari yanafanana na Range, Audi, BMW, Mercedes.
Hawana ubunifu wowote ule.
Kwa watu tunaopenda majina ya magari kamwe siwezi endesha kitu cha bei rahisi ambacho najua ipo siku kitaharibika
Wachina ni watu wasio na akili.
Kila kitu wanachotengeneza wamekopi teknolojia yake. Hayo magari yanafanana na Range, Audi, BMW, Mercedes.
Hawana ubunifu wowote ule.
Kwa watu tunaopenda majina ya magari kamwe siwezi endesha kitu cha bei rahisi ambacho najua ipo siku kitaharibika
Wachina ni watu wasio na akili.
Kila kitu wanachotengeneza wamekopi teknolojia yake. Hayo magari yanafanana na Range, Audi, BMW, Mercedes.
Hawana ubunifu wowote ule.
Kwa watu tunaopenda majina ya magari kamwe siwezi endesha kitu cha bei rahisi ambacho najua ipo siku kitaharibika
Ww mtumwa wa marekani una hela gani wenye pesa zao akina bakhressa sa hv wanaorder gari za kichina i.e howo,faw
Hakuna sababu ya kuwabeza wachina kwa lolote lile, wakati mabasi ya Yutong yanaingia tuliona kama hayafai leo hii sote tukifika Ubungo tunatamani kupanda Yutong au Zengtong maana yana raha yake kuliko scania eti. Watakuja na magari hayo kwa design zote maana tangu WTO liwakubali wameteka soko la dunia eti.
Lakn pamoja na kukopi technology lakn umeona uchumi wao? Ni sawa na Tanzania?
Maisha ni akili na ujanja ila sio ujanja wa akina change na genge lake
hayafiki bongo coz wanatengeneza left hand drive only
Hapo umezidisha mkuu, hivi kama wachina hawana akili, Bongo tutakuwa kwenye kundi lipi kiakili? Na gari gani haitakuja kuharibika? Ukiangalia vizuri, magari machache sana hayafanani, hivyo kama kuiga kampuni zote zinaiga.
Uzuri wa mjapan ni kwamba anabadilisha mara kwa mara muundo wa magari yake. Lakini nayo pia yanapotea, mfano mabaloon, corolla ltd zile ambazo zilikuwa favourite kwa taxi, Mitsubish kitchen party nk ziko wapi? Labda huyo mkorea wa KIA na Hyundai zake habadilishi, hivyo fashion yake inapita.
Kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anawachukia sana wachina na kusema kila kitu chao ni kibaya na kwamba hawezi nunua wala tumia vitu vya wachina.
Siku moja nikamkumbusha kuwa aangalie vyombo anavyotumia nyumbani...
Baadaye akagundua kuwa hata viatu na nguo zake alizovaa, pamoja karibu nusu ya household items nyumbani kwake, vyote ni vya mchina. Sasa kawa mpole na anatumia Huawei smart phone.
Wazungu wenyewe wa West, wasingeiga science ya 'medieval arabs' (e.g. alchemy, algebra), wasingeendelea kama walivyo sasa kwenye science na technology. Ku-copy na kutumia kwa maendeleo yako ndio maendeleo yenyewe...