ndiyomkuusana
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 668
- 426
Hapa ilikuwa meza kuu, yuko Freeman Mbowe (CHADEMA), Edward Lowassa (CHADEMA) na Prof. Lipumba (CUF)
Sentensi nyingine amesema hivi >>> &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];Taarifa ya kung'atuka niliitoa August 01 2015, nilisubiri kukamilisha masuala ya UKAWA ndio nitoke&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]; Ninaendelea kuwa Mwanachama wa CUF na nimelipia Kadi ya Uanachama mpaka 2020, sina mpango wa Kujiunga ACT&[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];-Prof. Lipumba.Hapa nina pichaz nyingine Kumbukumbu ya July 28 2015 siku Edward Lowassaalivyokaribishwa rasmi CHADEMA na UKAWA.