Angalia TBC: This week in Perspective

jerrytz

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
5,975
4,264
Wadau, wapenda siasa na politics analysts.
Naona kipindi cha This week in Perspective kipo vizuri leo.
Namuona Lwaitama na H Polepole mezani wanajadili CCM reforms.
 
Wilson Mkama alikuja na lengo moja tu kutetea mabadiliko japo Profesa ameita kuwa ni documented papers....
Hahah hizi inglish za dr lwaitama aiseee.. leo CCM Wamekuja pair naona na katibu wao wa enzi zile
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom