NImepitia hizi website kwa kweli nimejikuta nacheka mwenyewe, nikajiuliza inamaana mtu ananunua domain, analipia hosting na kisha anatumia muda kucode vitu hivi???? Angalieni wenyewe mjionee
Ya kwanza
Ya pili
Ya tatu
Ya nne
Ukishaangalia niambie ipi umeipenda