Angalia ninachokiwaza

Angalia ninachokiwaza

g click

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
2,427
Reaction score
511
habarini wanamichezo wenzangu!
ikiwa ligi mbalimbali duniani zinaelekea ukingoni nimependa kushea nanyi baadhi ya mambo ninayo penda yatokee
napenda AZAM achukue ubingwa VPL, napenda ATLETICO MADRID achukue ubingwa LA LIGA, napenda LIVERPOOL achukue ubingwa EPL, napenda JUVENTUS achukue ubingwa SERIE A, napenda PSG achukue ubingwa LIGUE 1,

JE na wewe kwa mtazamo wako unapenda nini kitokee mwishoni mwa ligi mbalimbali?
karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom