Tundu Lisu aka Simba wa Kizimkazi azima Ndoto za Freeman Mbowe aka Mwamba kinyang'anyiro cha uRais wa JMT

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
91,133
158,446
Pamekuwa na Vita ya chini kwa chini pale Chadema kuhusu nani atagombea Urais wa JMT kwa ticket yao Lisu au Mbowe

Wapenda mageuzi Wanataka Tundu Antipas Lisu agombee lakini Wasaka Fursa wanamtaka Freeman Mbowe agombee

Sasa baada ya Tundu Lisu kupewa hadhi ya Mfalme wa Nyika " Simba" kitendawili kimeteguliwa

Dominica Njema 😄🔥
 
Una mnig'inio wa lager za jana meku,Freeman hana nia ya kugombea urais labda iwe kumtafuta mtu mwingine hata ndani ya CCM (kama Edu) tofauti na Lissu.
Wasiwasi wa Aikaeli ni uwezo wa Tundu kukipatia Chama wabunge wengi
Uchaguzi uliopita Antipas hakutilia uzito wa kutosha eneo la wabunge ikifananishwa na urais 'wake'.
 
Uchaguzi au uchafuzi uliopita?
 
Acha uchochezi
 
Wengi wa Wana CHADEMA wako upande wa Lissu kwa tiketi ya Urais wa JMT 2025 na huyo mwingine aende agombee Ubunge ambayo ni njia nyeupe kuipata pale Jimboni kwake.
 
Una mnig'inio wa lager za jana meku,Freeman hana nia ya kugombea urais labda iwe kumtafuta mtu mwingine hata ndani ya CCM (kama Edu) tofauti na Lissu.
Wasiwasi wa Aikaeli ni uwezo wa Tundu kukipatia Chama wabunge wengi
Uchaguzi uliopita Antipas hakutilia uzito wa kutosha eneo la wabunge ikifananishwa na urais 'wake'.
Alitilia Mkazo wabunge lakini uchafuzi ndiyo ulioharibu kila kitu. angefanya nini. wabunge wote wa chadema walitupwa nje. Lissu bado ni kete ya chadema
 
Kiroho , kuitwa Simba ni kibali kikubwa sana cha uongozi na mafanikio . Mungu amemtumia nabii Samia kutupa ujumbe kuwa Tundu Antipas Lissu atakuwa rais wa Tanzania 2025 .
 
Samia alivyoona vurugu alizokuwa anafanya Simba wa Kizimkazi.Akiishia kusema huyu aitwe Tundu Lissu. Kwa maana nyingine Simba huyu ana vurugu kama Lissu.
 
Pamekuwa na Vita ya chini kwa chini pale Chadema kuhusu nani atagombea Urais wa JMT kwa ticket yao Lisu au Mbowe

Wapenda mageuzi Wanataka Tundu Antipas Lisu agombee lakini Wasaka Fursa wanamtaka Freeman Mbowe agombee

Sasa baada ya Tundu Lisu kupewa hadhi ya Mfalme wa Nyika " Simba" kitendawili kimeteguliwa

Dominica Njema 😄🔥
Hata Nebukadreza aliota ndoto ya anguko lake..
Cc Kizimkazi
 
Pamekuwa na Vita ya chini kwa chini pale Chadema kuhusu nani atagombea Urais wa JMT kwa ticket yao Lisu au Mbowe

Wapenda mageuzi Wanataka Tundu Antipas Lisu agombee lakini Wasaka Fursa wanamtaka Freeman Mbowe agombee

Sasa baada ya Tundu Lisu kupewa hadhi ya Mfalme wa Nyika " Simba" kitendawili kimeteguliwa

Dominica Njema 😄🔥
Usipowexa kutafsiri maana kutojua maana.

Kuna soft power.

Hakuna namna mbele ya pesa. Hiki ni kipindi cha wafanya biashara wakuu wa siasa tz kuvuna.

dau alilopewa Lissu ingelikuwa ni Mbowe asingeliacha. Lkn Lissu anatega anasubiri dau kubwa zaidi. Ili aachane na siasa arudi ktk sheria. Wakisubiri ahadi nyingine.

Mpango keshafungua. Kuwa chadema si mama yake. Na 40 shamelist ndani ya chadema
 
Back
Top Bottom