Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 777

Askari kabeba mzigo wa NOTI anapeleka bank.

Alipofika nje tu,jamaa hawa,mikono juu,mchongo ulishachongwa zamani sana.

Jamaa anamwambia uachie ama sivyo nakumwaga utumbo.

Mlinzi akaona,mh hasara roho,pesa karatasi,kisa nini,chukueni mzigo wenu.

Jamaa kachukua mzigo wa NOTI,na kusepa mazima.
Duh kweli ukichelewa tu watu wanatumia FURSA.
Soma zaidi hapa:Security guard in Somerset surrenders box full of money to armed raider with rifle | Mail Online