Hiyo India kabisa
No... India wapo makini sana tena sanaaa!
Angalia pembeni ya neno flame kuna maandishi ya kihindi.
Pia ukiangalia hapo kwenye manufacturing date kuna neno Rs. 30 ikimaanisha rupees
Hiyo yamaanisha ni india
Ngoja niipekue..nikiiona nitaiweka hapa yaani utakosa ushujaa wa kununua dawa za India hata ukiiambiwa ni halisiHawana documentary youtube uiweke tuione?
Hawana documentary youtube uiweke tuione?
Balaa mkuu ndio maana tunabugia midonge badala ya kupata nafuu tunaibua maradhi mengineAngalia hizi