angalia mambo ya NATO Libya, where is AU??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

angalia mambo ya NATO Libya, where is AU???

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, Apr 27, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,845
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Its very saddenned,
   
 3. m

  mbarbaig Senior Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 151
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Acheni unafiki wenu..Mbona huonyeshi picha za watoto wanazouawa na askari wa Ghadafi ukauliza were is AU? Unafiki mbaya sana kuwa mkweli acha bias...ungeweka zote ningekuelewa na ukawauliza vizuri AU tangu mwanzo kabla NATO haijaingia Gadafi alikuwa anawauwaje watu wake...Unafiki mkubwa
   
 4. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,088
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  hizo reds zimemfaa kabisa. kukurupuka sometimes noma hususani ukiwa mwanajamii mkongwe. kitoto chenyewe kimeumia mguu na vikovu kadhaa usoni. hatujashawishika bado.
   
 5. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tumwombe mungu vita viishe maana hata the way Hawa wadau Mbarbaig na Ivuga wanavyojibishana ni vita tosha.....Kwa minajili hii ni bora tukamwomba Mungu amalize vita hiii
   
 6. Mtumzima

  Mtumzima Senior Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 140
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Tatizo lililopo ni kwa watu wengi kutokujua ushenzi wa Wamarekani na washirika wake.Kisingizio chao ni kwamba Gadaffi amekaa sana katika madaraka.Tatizo siyo Gadaffi ni raslimali ya mafuta iliyopo Libya! 50% ya pato la mafuta linatumika kwa maendeleo ya Libya na wananchi wake.
  {Since the old Central Bank of Libya was state owned, it was essentially under the control of Moammar Gadaffi. But now that Libya is going to be "free", the new Central Bank of Libya will be run by "Libyans" just like the war against Gaddafi is being waged by "Libyans". It's a separate issue whether those Libyans have a Libyan nationality or an EU/USZ nationality. Over the past couple of years, Mummar Gaddafi had threatened to nationalize the oil industry in Libya and kick western oil companies out of the country, but now that Libya will be "free" the people of Libya will be able to work hand in hand with "big oil" and this will create a "better Libya for everyone". Of course oil had absolutely nothing to do with why the USZ "invaded and initiated a kinetic humanitarian liberty action" in Libya. When the Globalist Zionist puppet Barack Obama looked straight into the camera and told the American people that the war in Libya is in the "strategic interest" of the United States of Zionism, what was he pointing at? Not to forget that Obama won a Nobel Peace Prize in one of the most violently absurd events of the century}
  Fikiria waasi wa ghafla ndani ya Libya walitokea wapi? Leo NATO wanadai wanafyatua makombora ndani ya Libya kuwahami wananchi wa Libya dhidi ya majeshi ya Gadaffi.Kinachoendelea hapa ni madai ya kijinga ya NATO kujitafutia uhalali wa uvamizi kwa Libya.
   
 7. N

  Nonda JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Haya ya kuletewa demokrasi yatafika na hapa East Africa.

  Unajua kuwa Sudan imekuwa mataifa mawili sasa? Mafuta ya Sudan ya Kusini,

  Uganda wamegundua mafuta,,,harakisho la EA federation.Kama vile harakisho la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
  Tunakumbuka mabomu ya balozi za Us katika TZ na Kenya? Yale yalikuwa ni kuileta AFRICOM karibu yetu na sheria za ugaidi na ushirikiano wa Karibu na US.

  Na sasa Tunatafuta mafuta kwa bidii,...siku tutakayosema hizi mali sasa ziwanufaishe wananchi basi Demokrasi itashushwa kwa uchochezi wa ghasia,machafuko halafu demokrasi itateremshwa kwa ndege kama wafanyavyo huko Libya.
   
 8. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sija penda kabisaaaaaaaaaa mambo yanayoendelea libya.Nato Why?
   
 9. m

  mbarbaig Senior Member

  #9
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 151
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  nadhani tuko frequency tofauti....read the title and comment..where is AU? usijitungie swali
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Unauchungu na wizi wa mamilioni ya Watanzania? :frusty::frusty::frusty::frusty:
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,845
  Trophy Points: 280
  any body who can tell me where is AU?? AU-AFRICAN UNION
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Du.. hawa jamaa washenzi sana
   
 13. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  mwisho wake umefika[​IMG]
   
 14. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Loo inasikitisha sana,ndio hivyo vita haina macho,hao waasi walifikiri watamtoa Gaddafi kirahisi kama walivyomtoa Mubbarak wa Misri,AU itabidi ilani vikali uvamizi wa NATO kwani wamezidisha ugumu tatizo badala ya kulipunguza tatizo kama walivyodhani
   
 15. JAMHURI

  JAMHURI JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 249
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ujuea nchi za Magharibi shida kubwa ni kutaka kuitawala Libya kwa lengo lao mahusui,ambalo ni Mafuta na si vinginevyona pia kuna kale ka udini...zaidi utatafuta sababu mpaka ukome.
   
 16. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2011
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Yale yale ya madebe makubwa meusi yanayokuja kubeba watu. I dont know about you but I dont buy this crap!
   
 17. B

  Batale JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,070
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Duh, ama kweli vita havina macho, lkn dogo hata machozi hayamtoki akikuwa nikulipiza kisasi mtindo mmoja.
   
 18. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Obama kumbe mjinga sasa anatetemeka wamemuambia hakuzaliwa US analialia tu jaluo wa kisumu njoo Ghadaff akupe kazi lofa jaluo ww unaua watu Libya...
   
 19. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Vita haina macho
   
 20. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mbona hawaendi somalia licha ya matatizo yote waliyonayo? kwani democrasia wasomali haiwahusu? au sababu wasomli ni wazalishaji wa mbuzi na walibya wana mafuta?
   
Loading...