-kusikia Haja Na Usiende Chooni Ni Maamuzi Magumu.
-kuendelea Kutenda Dhambi Na Unajua Siku Ya Mwisho Ni Moto (Fire) Ni Maamuzi Magumu.
-kubeba Mimba Shuleni Ni Maamuzi Magumu.
-kukopa Pesa Vodacom Na Kuweka Vocha Kwa Mwingine Ili Usikatwe Na Kununuliwa Muda Wa Maongezi Kupitia Sim Ya Mwingine, Ili Uchati Nayo Ni Maamuzi Magumu.
-kulala Na Kusinzia Umefumbua Macho Ni Maamuzi Magumu,.
-kuandika Meseji Kwa Vifupi Vilivyokithiri Wakati Unajua Unaemtumia Hataielewa Nayo Pia Ni Maamuzi Magumu,
-kuishi Dar, Na Maisha Ya Msongamano Wakati Huna Kazi Ya Kukulazimu Uishi Dar Ni Maamuzi Magumu,.
-sisiemu Kukubali Kushindwa Uchaguzi Hata Kama Kura Zimewatupa Ni Maamuzi Magumu.
-masuper Staa Wa Bongo Kuishi Mikoani Tofauti Na Dar Ni Maamuzi Magumu,.
-kumuacha Mkeo Kwa Sababu Ya Mchepuko Ni Maamuzi Magumu.
-kutumia Mda Kuandika Haya Maneno Mengi Nayo Pia Ni Maamuzi Magumu.........