angalia kwa makini uone sanaa iliyotumika

angalia kwa makini uone sanaa iliyotumika

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
1383214_519133368172177_610057830_n.jpg
 
Dah mwanzo niliona watu wanataka kunaniliu ila baadaye nimeona tena kingine....
 
Bila bila kabisa sijaona ndani mie!!
 
Dah mwanzo niliona watu wanataka kunaniliu ila baadaye nimeona tena kingine....

Mtu zinatazamana pia nyingine inapiga gitaa ingine imejitwika chungu
 
Kuna watu wawili mwanamke na mwanaume mwanaume ana piga gitaa,na kichwani ana "hat"na mwanake pia ana hat,alafu wametenganishwa na glass,kwa pembeni ni milango ya mansions!
 
,,,,,,,halafu kuna mwanamke kasimama ki miss anaunda sikio
 
Back
Top Bottom