Angalia Kivuli Cha Picha Hii.

Angalia Kivuli Cha Picha Hii.

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,928
Picha na kivuli chake vinachanganya.......
angalia.jpg
 
Kwenye kivuli wanafanya mambo ya kiutu uzima, pichani wanacheza sebene
 
Sijui kwanini nilikimbia somo la sayansi, kwa wataalamu wa mwanga kwao hapo wameelewa
 
hivi unajua nini maana ya kivuli? na je unajua kuwa huwa kinaonekana opposite side? ni tukio hilo hilo tatizo ni kwamba ni kwa kinyume.
 
AseeeeeDuh!!!Vivuli vinafaidi!!!!
 
Unaweza kutengeneza movie. Hicho kivuli, au kivuli cha namna km hiyo, kiwe ndiyo ushahidi pekee mahakamani khs kesi fulani inayomshutumu mtu kwa kosa ambalo hakulifanya -- labda kwa kusingiziwa. Chukua karatasi na kalamu, anza kuandika script.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom