Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,941
- 1,011
- Thread starter
-
- #21
mi sijaona ndani mkuu ni nini?
Najitahidi kukusoma bado kuelewa
Nadhani ufafanuzi zaidi unahitajika.
kwani ulikosa usingizi!!!
Sasa huku ni kututafuta ubaya! Si tutajuaje kuhusu hivyo vichupa. Aliyeviona alipaswa kuwauliza wahusika pale wangempatia jibu muruwa kabisa na yeye angakuja kutupasha hapa.
Nawe ni mpekuzi kweli!!! uliionajehiyo? angalia sana kuna vitu vingine ukiviona tu unapofuka.
nimeshindwa kuelewa somo
mleta mada ungesema umeona nini
Kuna vichupa viwili juu ya mlango.....ni ushirikina tuu........au ni lubricants?
Hebu angalieni hiyo nondo ya ndani vizuri....hamuoni imefungwa vichupa viwili?
Bila shaka wewe ndiye uliyeiweka au una utaalamu na hivyo vitu. Watu wooote hawaioni wewe tu ndio ulikuwa wa kwanza kuibaini.
Nawe ni mpekuzi kweli!!! uliionajehiyo? angalia sana kuna vitu vingine ukiviona tu unapofuka.