Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,364
- 60,495
Hiyo ya ufunguo imeshawahi nitokea kabisaaaa nakumbuka ni Maeneo ya Mwanza karibia na Sanamu LA Samaki Aiseeee sikuamin yan mpka mikono Ilikuwa inatetemekaSawa nakusubirii
Hiyo ya ufunguo imeshawahi nitokea kabisaaaa nakumbuka ni Maeneo ya Mwanza karibia na Sanamu LA Samaki Aiseeee sikuamin yan mpka mikono Ilikuwa inatetemekaSawa nakusubirii
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23]Hiyo ya ufunguo imeshawahi nitokea kabisaaaa nakumbuka ni Maeneo ya Mwanza karibia na Sanamu LA Samaki Aiseeee sikuamin yan mpka mikono Ilikuwa inatetemeka
Kabisa alafu kufikiria hilo kufuli LA geti kuvunja mpaka muite wale watengeneza mageti we nilivyoichukua nilipiga magot kushukuru[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23]
Unajikuta unatetemeka hadi kuiokota unaogopa ss...hahaha
Muhimu sana mkuu, bahati zipo[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28] ukashukuru sanaa eeh