Angalia guide book mpya ya NACTE 2016/2017 na majina ya waliochaguliwa

Angalia guide book mpya ya NACTE 2016/2017 na majina ya waliochaguliwa

Asante mkuu, lakini mimi naulizia hawa form six ambao wamekosa qualifications za kuingia chuo kikuu na wale ambao wana wish kusoma diploma
kama hauna sifa za tcu basi nacte ndo kunafaa bt wakati wa kuomba usisahau kuwekA na matokeo yako ya six ili yakuongezee nafasi
 
Aiseeee kuna chuo kinaitwa kaole wazazi kipo bagamoyo diploma ya agriculture ni one year je nikisoma apo kuna shida
 
humu kuna wahanga weng ambao hawakuchaguliwa angali vigezo wamekiz maana kila mtu anamaumivu da! hawa nacte ni noma
 
Wadau vp kuhusu guidebook ya certificate na diploma ya ualimu 2016 /2017 haipo kwa website ya NACTE? au ndo nafasi zimejaaa!!!!
 
Back
Top Bottom