Angalia CCTV News Muda Huu

Angalia CCTV News Muda Huu

Mimi huwa nawashangaaa...watanganyika...unapoipigia kura CCM ambayo imekusababishia matatizo huwa unamkomoa nani....???

Ccm imewekeza kwenye ujinga wa watu, wanaishabikia kama ngoma au hata mpira bila kuangalia kwamba ni kuamua juu ya mustakbali ya maisha ya watu.

Hebu fikiria wabunge hawa wanaoudhi kwa kura zako za NDIOOOO bila hata kutafakari, kisa tu jambo limependekezwa na serikali, halafu MTU uwashabikie eti mi ccm damu !!? AJABU !!!
 
chadema wanapokea majangili ndio wanaotumalizia tembo wetu.

Twahil acha kujitoa akili, kwani umesahau ushiriki wa kinana ktk biashara hii haramu. Ccm ndio wenyedola na wamethibitika kushindwa kulinda rasilimali zetu
 
Ccm imewekeza kwenye ujinga wa watu, wanaishabikia kama ngoma au hata mpira bila kuangalia kwamba ni kuamua juu ya mustakbali ya maisha ya watu.

Hebu fikiria wabunge hawa wanaoudhi kwa kura zako za NDIOOOO bila hata kutafakari, kisa tu jambo limependekezwa na serikali, halafu MTU uwashabikie eti mi ccm damu !!? AJABU !!!
Yaani mkuu hapo mwanzo nilipingana sana na suala la CHADEMA kumsimamisha LOWASA.......Lakini nilipoyafikiria yale mateso ya CCM kwa kipindi cha miaka kumi nikajikuta nafsi yangu inanisuta kuwa iinakuwaje mtu mwenye akili timamu uchague jambo lenye madhara kwako.....nikajikuta nimeamua kuwa hata likiwekwa jiwe dhidi ya CCM basi mimi nitalipigia jiwe......maana zile kauli vijisenti na hela za mboga tu.........bado zinauchoma sana moyo na tiba pekee ni kuitoa CCM madarakani kwa gharama yoyote ile......kwa kifupi sitakuwa tayari kuongozwa na CCM kwa kipindi kijacho cha miaka mitano.....
 
Mkuu ukitaka kujua hawa jamaa wamewekeza kwenye UMASKINI &UJINGA wa watu. Hebu angalia mikoa ambayo ufuasi CCM ni mkubwa e.g. Dom, Tbr,Sgd, etc angalia maisha ya watu maeneo hayo hakuna nyumba za maana(tembe) hakuna maji ,yaani maisha maeneo hayo ni duni (Pita central line ione) lakini ndio hao wengi wanasema ni ccm damu
 
Hiyo idea ya kila mwana JF apige kampeni mtaani kwake kuitoa CCM madarakani imetulia. Kila kitu kinawezekana wakuu TOGETHER WE CAN
 
Kwani Kinana na Bashe majangili yaliyokubuhu yamehamia lini chadema?

CCM ni kama funza(MANYARA WANAMJUA VIZURI HUYO MDUDU),dawa pekee huwa ni kumtoa ndo upone na hushambulia vidole hasa vya miguuni kwnye kucha.
Asipotolewa,kucha hung'oka yenyewe.
MTANZANIA=Kucha
CCM=Funza
Ewe MTANZANIA,unaweza kuvumilia?.
 
mimi nadhani inafaa iitwe GAME HUNTING FOR TROPHIES, yaani uwindaji wanyama kwa ajili ya kupata nyara. umeona eeh?

BTW, uwindaji wa kijangili ni matunda ya CCM. suluhisho lake ni kuiondoa CCM mamlakani ili kuondoa tatizo hilo.

Uko sawa kaka, isipokuwa tu huwa infupishwa kwa kuitwa TH
 
chadema wanapokea majangili ndio wanaotumalizia tembo wetu.
wakati huo mlinzi wa hao tembo akiwa yupo usingizini so the only way we can handle situation is to kick out mlinzi-ccm government after that ndo tuweke watu wa kushughulika na hao majangili.
 
chadema wanapokea majangili ndio wanaotumalizia tembo wetu.

kinana mwenyewe keshatuma maombi mengi Sana kujiunga chachema hajajibiwa hata moja na huu hapa ushahidi wake ������������������ Iworry kinana might catch US
 
Tatizo viongozi wetu hawaoni hilo kwa sababu wana maslai nalo.

Tafuta kitabu kinaitwa The Vanishing point, uone serikali ya Tanzania ilivyo na uzembe kwenye swala la rasilimali za taifa na namna ambavyo viongozi wa serikali na taasisi zake ziavyoimaliza hii nchi
 
mim kwa sasa nimenunua solex kubwa,naona ktk familia yangu kuna wa2 wanachelewesha mageuz,tar 25 oct nawafungia ndani
 
Back
Top Bottom