Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,958
Mimi huwa nawashangaaa...watanganyika...unapoipigia kura CCM ambayo imekusababishia matatizo huwa unamkomoa nani....???
Ccm imewekeza kwenye ujinga wa watu, wanaishabikia kama ngoma au hata mpira bila kuangalia kwamba ni kuamua juu ya mustakbali ya maisha ya watu.
Hebu fikiria wabunge hawa wanaoudhi kwa kura zako za NDIOOOO bila hata kutafakari, kisa tu jambo limependekezwa na serikali, halafu MTU uwashabikie eti mi ccm damu !!? AJABU !!!