Angalau Layout Hii Inaridhisha kidogo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalau Layout Hii Inaridhisha kidogo...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by maishapopote, Jan 29, 2011.

 1. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  wakati layout ya JF inabadilishwa nilionyesha waziwazi kutokubaliana na layout mpya waliyoiweka,lakini watu wakasema oooh unajua hii ni mpya ohh utaizoea tuu oooh unajua mambo meengi tuuu lakini tokea wakati huo mpaka leo sijaikubali hata kidogo....
  ila kiukweli hii ya leo nimeiona inaridhisha kidogo na kama wataimodify zaidi nadhani nitaanza tena kuwa interested na active kwasababu ya layout hii.....
  nawakilisha tu wadau.......ni mawazo tu.
   
Loading...