Ni kitu cha kushangaza mno lakini kwa sasa anga halifai, watu wanapishana angani ardhini na majini...!ni kutafuta kinga na ulinzi wasitumbuliwe majipu mali zao zisifilisiwe wala wasikamatwe na kushtakiwa
Kama kuna wakati waganga wa kienyeji wanapiga pesa ni sasa viunga vyao vimesheheni wageni
Hali ni mbaya kuliko inavyodhaniwa