Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya auawa kinyama Dar

Ya kweli hayo?? Usikute pia watu wanachukulia hiyo weakness point ya familia ya Erasto na Mke wa Erasto kulipiza visasi vyao.. Huyu mke wa erasto for good sake hata kama yeye ndiye muuaji alitakiwa aende msibani.. Kutokwenda tayari ni doa kwake
Nashindwa kuelewa kwa nn hakwenda ila mke wa Erasto na hiyo familia walileteana figisufigisu nyingi baada ya Erasto kufariki. pmj na hayo haikuleta picha nzr kwake kuacha kutoa hata pole kwa familia.
 
Nashindwa kuelewa kwa nn hakwenda ila mke wa Erasto na hiyo familia walileteana figisufigisu nyingi baada ya Erasto kufariki. pmj na hayo haikuleta picha nzr kwake kuacha kutoa hata pole kwa familia.

Kwenye misiba uadui wetu huwa tunaweka kando.. Jamii nyingi za Kaskazini tunatumia misiba kupatanisha hata wale waliokosana kwani ndio unakuwa wakati mzuri wa ndugu wote kukutana..
 
Kwenye misiba uadui wetu huwa tunaweka kando.. Jamii nyingi za Kaskazini tunatumia misiba kupatanisha hata wale waliokosana kwani ndio unakuwa wakati mzuri wa ndugu wote kukutana..
kabisa ila kwa watu wengine wanapaona ndio mahali pa kuonyesha chuki zao kitu ambacho sio kizuri. sasa wale watoto wanajisikiaje shangazi yao amefariki hlf wamenyimwa kwenda.
 
Naunganisha DoT.
----------------------

------------------------------------------
Nivea Yupo wapi?
 
ndio maana wengine walishashtukia hizi theory za Mungu na shetani hazi make sense whatsoever. Watu wanasema Mungu atawalinda wafiwa, Mungu unavyoona amekaa kama anaweza kulinda mtu kweli?
.
Hapa umemkashifu Mungu sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…