Android yangu haiingizi chaji

Android yangu haiingizi chaji

hooligan01

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
664
Reaction score
540
Wanajf naomba msaada,

Simu yangu now ukiiweka katika chaji inawaka kuonesha inaingiza chaji lakini inaongezeka percentage chache sana yani hata 2%@hour kwa hiyo labda mwenye kujua anisaidie kama aliwahi kukutana na hili tatizo maana mwanzo nikajua tatizo labda betri ,nikanunua kumbe sio.

Naombeni msaada jameni.
 
Charger unayotumia ndio iliyokuja na simu au umenunua separate?

Tattizo inaza kuwa unatumia charger inayotoa current ndogo (mA) wakati battery iliyo kwenye simu yako ni kubwa. Ikiwa hivyo hata uki charge wiki nzima battery haiwezi kujaa

USB ka 2 nmejaribsha mkuu
 
Charger unayotumia ndio iliyokuja na simu au umenunua separate?

Tattizo inaza kuwa unatumia charger inayotoa current ndogo (mA) wakati battery iliyo kwenye simu yako ni kubwa. Ikiwa hivyo hata uki charge wiki nzima battery haiwezi kujaa

chaja (usb)yake nliharibu nlpobadlsha USB ndo tatzo lmeanza co unanshaulje
 
hata mimi tatizo hilo lilinikuta ktk p3 usb ilikatika nikambahatisha rafiki yangu ana travel charger ndiyo nnayotumia mpaka sasa
 
chaja (usb)yake nliharibu nlpobadlsha USB ndo tatzo lmeanza co unanshaulje

uwezekano mkubwa hapo ni kuwa charger uliyoyonunua haina uwezo wa ku charge battery ya simu yako.
kwa simu uliyotaja charger inatakuwa iwe na output ya 5V na 500mA (0.5A)

confirm kama charger uliyonayo ina output hizo, otherwise ndio tatizo lilipo
 
hukua USB yako chomeka ktk PC Au DvD Kujaribu kama itachaji, Iache kama nusu saa zen unangali imeongezeka % ngapi.
 
Wanajf naomba msaada,

Simu yangu now ukiiweka katika chaji inawaka kuonesha inaingiza chaji lakini inaongezeka percentage chache sana yani hata 2%@hour kwa hiyo labda mwenye kujua anisaidie kama aliwahi kukutana na hili tatizo maana mwanzo nikajua tatizo labda betri ,nikanunua kumbe sio.

Naombeni msaada jameni.

Bila.shaka hiyo charger inatoa voltage na current ndogo. Tafuta charger inayotoa
OutPut 5V , 1.0A hiyo ndio itakayofaa. Charger zenye below hiyo range haitafaa
 
cm yangu ghafla haipeleki chaji kabisa na chaja ni original nahic tatzo kwa system charger n Vodafone 875
 
cm yangu ghafla haipeleki chaji kabisa na chaja ni original nahic tatzo kwa system charger n Vodafone 875

Chanzo cha tatizo kilikuaje kuaje? Au uliamka ikaanza tu kutopeleka?
 
Msaada wakuu..
Mimi yangu ni smart (android)
Mwanzo ilikuwa charge ikipungua naanza kuichaji.. ntaichaji huku natumia mpk itajaa.bila shida.
Sasa baadae ikawa ...
Kila nikichaji naona badala kuongezeka..inapungua chaji.
Mfano niki ichomeka labda iko 20%
Itaanza kupungua mpk itazima badala ya kujaa..
Nimebadili chaja
tofautitofauti..nyngne inacharge vizuri tena haraka nikitumia hiyo charge week 2 baadae..inaanza na ynyw hilo ttzo.
Na nikinunua charger huwa nipo makini sana kuangalia chja isipungue 2.Oamp lkn bado haijsaidia.
Nakosea wapi wakuu.
Msaada plz

Natumia Samsung Glx Premier i9260
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom