Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 203
iPhone noma mjombaaaa.
iPhone noma mjombaaaa.
android nimeanza kuitumia last week, ni kali kinoma, hauwezi linganisha na yoyote kwa sasa
Iphone ndio mwisho yaana androids zipo kimafungu kama hamsini hivi zinashindana na iphone moja tuu yaani hapo wapi na wapi. Jumlisha zote htc kina sumsung, motorolaz na zote zinashindwa. Nashukuru mungu angalau mzee Steve jobs aliwapa changamoto sikuhizi ingawa wanakopi tuu mambo ya iphone lakini wanajitahidi labda siku moja wanaweza wakaipa changamoto iphone miaka kama kumi ijayo hivi wakielewa somo. Tatizo android wanaleta vitu vimepikwa nusu mfano unahaidiwa chipsi mayai chakulla cha mchana unaonja tuu kidogo ahaaaa mayai hayajaiva bado na chipsi zenyewe baridi. Wakati huo iphone wanakikuahidi ugali na maharage kwa chakula cha machana mkuu ukionja tuu da kila kitu kimepikika kisawasawa na chumvi na vitunguu na nyanya yani vimeifanya mboga usikilizie mpaka kichogoni.
Nakumbuka Apple walivyokuja na keyless iphone just multouch big playeys back then kina sumsung, HP na motorola wakawa wanawacheka apple wakisema apple wangefeli tuu. Walikuwa wanasema eti watu hawataki touch screens wanataka qwerty pads za kubonjeza. nawao ndo walikuwa wafalme wa soko. Sasa juhudi zao zimeishia kukopi desine ya iphone shape sumsung na HTC wamepelekwa mahakamani karibia kila kona ya maana dunia hii ambayo wanaweza uza bizaa zao na operation ya adroids.hebu nambie kitu android ilichocopy kutoka kwa iOS....iOS huwez hata kufanya BT sharing natively,hakuna flash,apps hazitegemean...yaan games tu na wing wa apps ndo naonaga cha maana huko! Dropdown notif. wamecopy toka android,maemo(N900)
Habari wakuu.
As you might have noticed, i'm a big fan of iPhone na kila kitu kilichokuwa Steve-jobbed. Hivi karibuni Apple wali-release iPhone 4S (iPhone for Steve) ambaye saa hizi amefariki (I wonder kama kwenye jiwe la kaburi lake wameandika iDead).
Sasa basi, kuna mtu alinikuta nikiwa kwenye Steve joblizing (nikiwa namsifia Steve) kupitia iPhone yake. Kaanza kunipinga KATAKATA! Anadai Android ndo kila kitu. Wataalam ndio nyie, mnadhani nani mkali? iPhone au Android?
Nawasilisha.