Android Tv Boxes (4K Players)

Bei gani mjomba sio peke yako unazo tuambie ilivu tuvutike tuje huko kama inabidi
125,000 kwa yenye ram ya gb 1 na internal ya gb 8 na 147,000 kwa yenye ram ya 2gb na internal ya 16gb
 
hii sentensi ongezea juu apo kwenye post yako, ili wengine wasiulize bei tena
asante sana kwa ushauri! unajua haya mambo saa zingine ukikosa umakini kidogo tu yanatokea kama haya! asante mkuu!
 
Tv box ndio kitu gani icho
 
Mkuu vipi hazina shida ya kugandaganda?.
kuhusu kuganda! iko hivi
1.inategemeana na provider wako wa internet na eneo unalokaa, mfano kama ulipo tigo ina network nzuri utaenjoy tu kama sio tigo basi voda nayo haitakwama
2.Pia kama hutumii internet hizi za ma bundle ya simu ila unatumia wifi mfano zile kulipia kwa mwezi na providers wako wako vizuri utaenjoy pia
3.Ila kama hayo namba 1 na 2 juu yote huna! Ingawa mimi nafanya biashara ya kuviuza sikushauri maana utaona ni useless tu kwako! So kabla hujataka kutumia lazima uhakikishe kuwa internet kwako sio tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…