Android Tv Boxes (4K Players)

Android Tv Boxes (4K Players)

mghanga_p

Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
46
Reaction score
15
Guys..I have few android Tv boxes (4K Players) that i am selling, if any of you is in need of one, he/she may give me a call. The Players are of different models, i have mxq-pro, x96 mini, v88 scishion and many more. Most of them are running the latest android version (Android 7.1 Nougat) ranging from 1gb ram and 8gb rom to 3gb ram and 32gb rom.

"Price ni tshs 125,000 kwa yenye ram ya gb 1 na internal ya gb 8 na tshs 147,000 kwa yenye ram ya 2gb na internal ya 16gb"
Contact: 0713-668656


box 2.jpg
box 1.jpg
box 6.jpg
 
Bei gani mjomba sio peke yako unazo tuambie ilivu tuvutike tuje huko kama inabidi
 
Kwa hiyo lugha uliyoandikia sio rafiki kwa wengi, ni njia mojawapo ya kukupunguzia wahitaji.
 
Weka bei mimi yangu imekufa jana tuu, ninaweza nikawa mteja wako lakini kama unataka siasa we enedelea na mchezo wako huo wakuandika andika kiingerza wakati huna hela,hujui kuwa kiingereza kingi bila hela ni sawa na kuongea kijaluo.
daah nimekuelewa mkuu! haina tatizo nimekusoma! kuhusu bei...

125,000 kwa yenye ram ya gb 1 na internal ya gb 8 na 147,000 kwa yenye ram ya 2gb na internal ya 16gb. Kama una lingine usisite kuniuliza mkuu!
 
Back
Top Bottom