ANDROID PHONE AS MODEM

Mosahe

Member
Feb 22, 2017
67
33
ni app ipi nzuri hufanya kazi vizuri kwenye PC kama modem kwa kutumia smartphone? please help
 
Nijuavyo mimi ukisha chomeka usb kwenye simu na computer. Kwenye simu unaenda settings=>wireless & network=>more=>tethering & hotspots device=>usb tethering unaiweka on. Kisha tiari computer inaload inaonyesha imeconectiwa na internet pale pembeni kulia chini.

Labda kama kuna mengine zaidi.
 
kutumia simu kama modem option ni mbili tu, either utaconnect pc na simu wirelessly kwa kuwasha tathering hotspot au utafanya usb connection kwenda kwenye pc.
 
ni app ipi nzuri hufanya kazi vizuri kwenye PC kama modem kwa kutumia smartphone? please help
Hakuna app ya kutumia Simu as a modem Simu na PC inaconnect kwa WiFi hotspot either wireless au kwa , USB au kama ushawahi kusikia kuna app nenda kaulize vizuri huko uliposikia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom