Android min personal computer

Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
421
500
Jamani habarini humu naombeni kuuliza Kuna kipindi nilikua naona kwenye mtandao wa Alibaba pc flani ndogo zilikua zinaendeshwa kwa Android. Sasa ningependa kujua je zinapatikana madukani na bei ni kuanzia TSH ngapi? Uzi tayari
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,471
2,000
1. Laptop yoyote ama desktop yoyote unaweza fanya ikawa na android

2. Tv box ndo hizo kama desktop za Android. Mjini hapo ukitafuta za Kichina around 60k mpaka 80k na nzuri kuanzia 120k.
 
Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
421
500
1. Laptop yoyote ama desktop yoyote unaweza fanya ikawa na android

2. Tv box ndo hizo kama desktop za Android. Mjini hapo ukitafuta za Kichina around 60k mpaka 80k na nzuri kuanzia 120k.
Asante mkuu ko huwezi pata iliyo unganishwa na screen na ikaja na Android toka kiwandani.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,471
2,000
Asante mkuu ko huwezi pata iliyo unganishwa na screen na ikaja na Android toka kiwandani.
Hakuna zaidi ya wachina, na kwanini uhangaike hivyo upigwe kifaa chenye specs za kizamani?

Nunua laptop mtumba weka android, ama kama Una laptop tayari dual boot windows na android.
 
Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
421
500
Hakuna zaidi ya wachina, na kwanini uhangaike hivyo upigwe kifaa chenye specs za kizamani?

Nunua laptop mtumba weka android, ama kama Una laptop tayari dual boot windows na android.
eeehe sasa hapa inabidi nipate uwelewa kwa sababu ninaweza ku afford laptop mtumba sasa na hofia laptop kushindwa kurun stable release ya baadhi ya software maana tumezoea kuwa kwenye simu specs zikipitwa na wakati huwa tunashindwa ku install baadhi ya app
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,471
2,000
eeehe sasa hapa inabidi nipate uwelewa kwa sababu ninaweza ku afford laptop mtumba sasa na hofia laptop kushindwa kurun stable release ya baadhi ya software maana tumezoea kuwa kwenye simu specs zikipitwa na wakati huwa tunashindwa ku install baadhi ya app
laptop yoyote ya core i series itarun android yoyote ya kisasa unayotaka wewe,

na laptop utaweza ongeza storage na ram mwenyewe, kwa kadri matumizi yako yalivyo, kifupi laptop ya bei rahisi itakupa perfomance nzuri kushinda simu yoyote ya laki 5 kushuka.
 
Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
421
500
laptop yoyote ya core i series itarun android yoyote ya kisasa unayotaka wewe,

na laptop utaweza ongeza storage na ram mwenyewe, kwa kadri matumizi yako yalivyo, kifupi laptop ya bei rahisi itakupa perfomance nzuri kushinda simu yoyote ya laki 5 kushuka.
na vipi kuhusu software za window zitarun poa maana tulisha nunua Dell latitude core i5 ikiwa inazingua kurun inkscape ilikua inasema graphacs hazipo
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,471
2,000
na vipi kuhusu software za window zitarun poa maana tulisha nunua Dell latitude core i5 ikiwa inazingua kurun inkscape ilikua inasema graphacs hazipo
Hakuna laptop inayo run software zote za windows, we Angalia specs za laptop linganisha na mahitaji yako. Na core i5 zote zina run inkscape unless huku weka graphics drivers.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,471
2,000
Asante Sana mkuu na kuweka drivers unawekaje?
Kama ni ya graphics unadownload tu website ya intel ama ya manufacture.

Mfano laptop inaitwa lenovo T440p andika google

T440p drivers.

Chagua result ya kwanza toka lenovo Kisha chagua driver husika download.
 
RETROJAY

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
760
1,000
Asante Sana mkuu na kuweka drivers unawekaje?
Njia rahisi kupata graphics drivers ni kuangalia jina la processor yako. Let's say "Intel Core i3 3220" then ingia downloadcenter.intel.com then search jina la processor. Kwenye results utaletewa graphics driver. Angalia latest kwenye tarehe then download katika format ya compressed ".zip" au executable ".exe" file.
 
Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
421
500
Njia rahisi kupata graphics drivers ni kuangalia jina la processor yako. Let's say "Intel Core i3 3220" then ingia downloadcenter.intel.com then search jina la processor. Kwenye results utaletewa graphics driver. Angalia latest kwenye tarehe then download katika format ya compressed ".zip" au executable ".exe" file.
Asante Sana mkuu na hiyo core i3 inauwezo kurun stable release version ya software zifwatazo blender, inkscape, illustrator hata ya 2019, na ms office 2019
 
RETROJAY

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
760
1,000
Asante Sana mkuu na hiyo core i3 inauwezo kurun stable release version ya software zifwatazo blender, inkscape, illustrator hata ya 2019, na ms office 2019
Yes ipo vizuri sana. Na uzuri ni kwamba inasupport up to 32gigs RAM. Kwa processor hiyo unaweza kufanya multitasking na programs ambazo ni intensive kwenye matumizi ya hardware kama photoshop, Fl studio n.k ukiwa na kuanzia 8gigs of RAM.
 
Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
421
500
Hakuna zaidi ya wachina, na kwanini uhangaike hivyo upigwe kifaa chenye specs za kizamani?

Nunua laptop mtumba weka android, ama kama Una laptop tayari dual boot windows na android.
mkuu naomba nikusumbue kidogo unaposema ni weke Android unamaanisha ni install Android stimulator Kama vile bluestack na hiyo dual boot inakuaje.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,471
2,000
mkuu naomba nikusumbue kidogo unaposema ni weke Android unamaanisha ni install Android stimulator Kama vile bluestack na hiyo dual boot inakuaje.
Sio simulator, inakuwa android native Una install kama windows, inakuwa na user interface kama windows pia. Hakuna cha muhimu utakachofanya android na laptop, vyema u dual boot, kuliko kununua ukaja ukajuta baadae.

Google Android x86 kupata maelezo zaidi.
 
Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
421
500
Sio simulator, inakuwa android native Una install kama windows, inakuwa na user interface kama windows pia. Hakuna cha muhimu utakachofanya android na laptop, vyema u dual boot, kuliko kununua ukaja ukajuta baadae.

Google Android x86 kupata maelezo zaidi.
mkuu nimeelewa ku dual boot ni Kama unaziweka os nyingi kwenye PC moja hafu then unaanza na window Kwanza sasa je ni Ram kuanzia ngapi? Na una pata Android mpya kabisa
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,471
2,000
mkuu nimeelewa ku dual boot ni Kama unaziweka os nyingi kwenye PC moja hafu then unaanza na window Kwanza sasa je ni Ram kuanzia ngapi? Na una pata Android mpya kabisa
Uzuri wa dual boot unarun os moja baada ya nyengine, mfano Phoenix os (android) minimum requirements ni 1gb ram tu, hivyo laptop ya core 2 duo yenye 2gb ram ina run bila matatizo.

Na dual boot kunakuwa na bootloader ukiwasha computer ina kuuliza unataka kuwasha windows ama android?
 
Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
421
500
Uzuri wa dual boot unarun os moja baada ya nyengine, mfano Phoenix os (android) minimum requirements ni 1gb ram tu, hivyo laptop ya core 2 duo yenye 2gb ram ina run bila matatizo.

Na dual boot kunakuwa na bootloader ukiwasha computer ina kuuliza unataka kuwasha windows ama android?
Asante Sana mkuu sikuwa nikilifahumi hii mm nilijua bluestack ndo mwisho wa reli nilitembele wikihow niangalie niwezaje kufanikisha nikaishia kujua tu bluestack na sikuweza kutumia kwenye Lenovo IdeaPad ya 2gb ilikua inasumbua Sana nikaona Kama kitu hichi hakiwezekani kabisa
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,471
2,000
Asante Sana mkuu sikuwa nikilifahumi hii mm nilijua bluestack ndo mwisho wa reli nilitembele wikihow niangalie niwezaje kufanikisha nikaishia kujua tu bluestack na sikuweza kutumia kwenye Lenovo IdeaPad ya 2gb ilikua inasumbua Sana nikaona Kama kitu hichi hakiwezekani kabisa
Phoenix os utazipata hapa, za zamani kidogo kuna android 7 na 5, sema ni nyepesi

Kwa pc za kisasa Bliss os ni nzuri zaidi

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom