mi my dream app android ni adobe photoshop nashangaa why watu hawaitaji
Then nyengine ni freemoneyfactory na appredeem hizi unadownload apps then kila apps average unapata 0.25 usd kwa app 4 unapata dola 1 then unazitoa kama amazon gift card au kwa paypal ya mipango.
tutegemee jina lolote lile inaweza kua Lollipop au vinginevyoguys nimesikia next android version ni android L, sasa kama trend yao ni kuhusu msosi, hii L inasimama badala ya chakula gani? sijapata muda wa kupita pita mtandaoni ila kwa ambao mnajua itakuwa na vitu gani tuanze kupeana taarifa
chief-mkwawa, nurbert, NingaR na wengineo
kumbe GO SMS na MX video player zinauzwa siku hizi.....!? wameniambia hivyo google store
kumbe GO SMS na MX video player zinauzwa siku hizi.....!? wameniambia hivyo google store
Q: What is Tapatalk?
A: Tapatalk is a mobile app built specifically for forum access. Different from mobile skin or mobile version that comes with the forum system, Tapatalk allows user to have a unified interface to access multiple forums at the same time. With million of Tapatalk users, your forum can be discovered by potential new members thru Tapatalk Network and our ranking and recommendation system.
mkuu nime Install lakini bila nikiisearch jamiiforums siipat
Mara nyingine ni ngumu kujua tatizo haswa kama huna simu kama hiyo ila nakushauri usearch forums za simu yako (naamini ni nexus 4) hapa Google Nexus 4 - XDA Forums. au hapa https://www.youtube.com/watch?v=72bta3K3k5AWakuu
Simu yangu inadownload system update lakini ninapoanza install inaniandikia error? Natumia "Galaxy nexus"
Nataka kuupdate kutoka 4.2.2 kuwa 4.3
Mara nyingine ni ngumu kujua tatizo haswa kama huna simu kama hiyo ila nakushauri usearch forums za simu yako (naamini ni nexus 4) hapa Google Nexus 4 - XDA Forums. au hapa https://www.youtube.com/watch?v=72bta3K3k5A
mkuu nime Install lakini bila nikiisearch jamiiforums siipat
Haipo huko siku hizi wameitoa, kwa hiyo ni lazima utumie jf application tu. mimi nilikuwa naitumia zaidi kipindi cha nyuma maana nakuwa connected na furum mbalimbali kupitia application moja lkn kwa sasa inakiwa shida!.
mkuu hyo jf application unaipataje?
kingsoft office iko poa sna
inafanya kazi gani?