1. Bonyeza Home key + Volume down + Power key vyote kwa pamoja usiachie hadi yatokee haya maandishi ya Kikorea
2. Ikishatokea hiyo process ya kwanza bonyeza volume up key, na itakuja hivi:
Mkuu hizi process zinazofata nadhani utakuwa unazifahamu, ila kwa niaba ya wengine ambao hawafahamu tunaendelea hivi:-
3. Fungua odin, unganisha cable kwenye simu na PC, simu itakuwa detected kwenye odin, pale kwenye ID:COM patabadilika rangi na kuwa ya bluu flani hivi.
mi my dream app android ni adobe photoshop nashangaa why watu hawaitaji
Then nyengine ni freemoneyfactory na appredeem hizi unadownload apps then kila apps average unapata 0.25 usd kwa app 4 unapata dola 1 then unazitoa kama amazon gift card au kwa paypal ya mipango.