Android games

Android games

We la, 2020, unalo?
Mkuu huko kubadili majina hata Mimi nikiwa na muda naweza sio kazi, Kama nilivyokwambia Hapo juu Ni game la 2014 wanabadili tu majina na kuweka picha za home screen.

Ukitaka kuhakikisha fanya Hivi
-tafuta mchezaji ambae 2014 alikuwa hajulikani mfano Daniel James was man UTD angalia picha yake utaona ipo ovyo
-angalia menu ya hio game ipo Kama ps2, ya kizamani na haifananii na pes yoyote mpya.
-angalia gameplay, entrance ya wachezaji na camera Ni zile zile Kama enzi za ps2.
 
Ni kwel lakin graphic zipo tofautibkidogo lakin players move ndo zile zile
Mkuu huko kubadili majina hata Mimi nikiwa na muda naweza sio kazi, Kama nilivyokwambia Hapo juu Ni game la 2014 wanabadili tu majina na kuweka picha za home screen.

Ukitaka kuhakikisha fanya Hivi
-tafuta mchezaji ambae 2014 alikuwa hajulikani mfano Daniel James was man UTD angalia picha yake utaona ipo ovyo
-angalia menu ya hio game ipo Kama ps2, ya kizamani na haifananii na pes yoyote mpya.
-angalia gameplay, entrance ya wachezaji na camera Ni zile zile Kama enzi za ps2.
 
Nimepakua PES MANAGER inazingua kufunguka inasema haujanunua ...nakwama wapi
 
Mkuu huko kubadili majina hata Mimi nikiwa na muda naweza sio kazi, Kama nilivyokwambia Hapo juu Ni game la 2014 wanabadili tu majina na kuweka picha za home screen.

Ukitaka kuhakikisha fanya Hivi
-tafuta mchezaji ambae 2014 alikuwa hajulikani mfano Daniel James was man UTD angalia picha yake utaona ipo ovyo
-angalia menu ya hio game ipo Kama ps2, ya kizamani na haifananii na pes yoyote mpya.
-angalia gameplay, entrance ya wachezaji na camera Ni zile zile Kama enzi za ps2.
Chief naomba list ya psp games ulizocheza au unazocheza ambazo ni nzuri kwako...
 
Mkuu genre ninazopenda mimi kwako unaweza usizipende. Na kama una psp unaweza cheza pia games za ps1 natively.

Kwa games za Action ambazo watu wengi wanazipenda angalia God of war series, Gta series na Metal Gear solid series.

Kwa Jrpg angalia final fantasy series, valkyria Chronicle, jeane d arc, tactics ogre etc.

Mpira kuna Fifa na pes na football manager handheld.

Zipo za arcade, racing, na genre nyengine.
 
sema pia utakuwa unatumia high end maana kwangu hizo final fantasy zinakuwa slow sana, yaani tusema kwangu hii simu ya ram 1gb zinazokubali huwa kwangu hazizidi za mb 450...
 
Nina psp mkuu, unatumia simu gani?
 
Screenshot_20200322-153607.jpeg

Time is a drug. Too much of it kills you
 
Back
Top Bottom