Android games

Android games

Sport
°First Touch Soccer 19
°Dream League Soccer 19
°Pes19 PSP
°Real Boxing
°Real Car Driving
Action
°Brothers Army
°Maxy Payne
°GTA5
°Mission Impossible PSP

Pes19 psp naweza kuona screenshots?
 
Chief, kuna kipnd nilikuwa natumia hiyo process ya kuinstall apk na kuweka data obb file kW kutumia zarchiver na bado nikifungua game ikawa inasema no data download, je ss hv haisumbui?
Kwanza hakuna njia nyengine, njia Ni hii hii

Haisumbui as long as unajua unachofanya, pia Ni vyema kutumia file manager na manually ku copy mafile ya obb kuliko ku extract kwenda obb, sometime unakuta file Lina folder mbili, moja halihusiani na obb unapocopy yote app itashindwa kusoma.

Tumia YouTube kuangalia step by step.
 
N

Nitaufanyia kazi ushauri wako
 
halafu chief pia nilikuwa natumia lucky patcher kukcrack in-purchase apps yakawa yanakubali lakini cku hz kula app km hiyo nikitumia njia hyohyo hazitaki, je tatizo litakuwa wapi? shukrani...
 
Mkuu Kama jina la app lilivyo lucky (bahati) hio app haina uwezo wa kucrack app zote In app purchase, Ni baadhi tu ya app, hasa app za kisasa Ni Karibia zote huwezi kucrack.
 
maana kuna kipndi nilikuw na app ya Archie comics ndani yake comics zile unapurchase nilikuwa naihack halafu inakubali nakuwa nazipakua na mb tu kisha nikaifuta ile app muda. Juzi juzi niliidownload tena nikiingia kuihack nikifungua haitaki inasem kitu km "price item not found" pamoja na games pia
 
Itakuwa wamesha update app Yao tayari.
 
Kwa soccer itafute hii FIFA MOBILE 2019 NI BEST FOOTBALL OF ALL TIME.
 
Dream league Ni offline na online Kuna mode za kucheza bila internet na multiplayer utahitaji wifi ama internet.
HIVI KUNA MADHARA YOYOTE KWENYE BETRI LA SIMU AU SIMU YENYEWE PINDI MTU ATAKAPOCHEZA GAME KWENYE SIMU YAKE
 
Madhara Ni joto mkuu, Kama Simu inapata Sana joto jua battery litakufa muda so mrefu, Ila Kama Simu haipati Sana joto madhara Ni Kama hakuna.
 
Back
Top Bottom