Android Development

ub16

JF-Expert Member
Feb 19, 2013
420
316
(Not sure where to post this, here or in JF store... Mods move it where appropriate)

Habari wana-JF,

I came across this kwenye my Google+ Android development community. Ni collection ya vitabu if you want to kickstart your self into Android development.

A background in Java or any OOP language is a plus but not necessary.

1. If you have just started Android Programming, check out "Android for Dummies"
2. If you are familiar with Android then check out "Professional" Versions.
3. If you want to make Games then check "Games and Graphic Programming"
4. If you want to learn Android from Core then check "Embedded Android"

Link to the dropbox ->
https://www.dropbox.com/s/3tdgfrw6nhz7hd2/Android_Books.zip (About 83MB)

The best way to put the knowledge to practice is by working on real world applications, there are a ton of open source android development applications out there to help sharpen your skills.

Happy Coding
 
Hivi hapa Bongo kuna mtu kamake ata custom ROM yoyote au tumewaachia XDA TGS

Au kwakuwa mtu apati hela ndo maana hakuna...
 
Hivi hapa Bongo kuna mtu kamake ata custom ROM yoyote au tumewaachia XDA TGS

Au kwakuwa mtu apati hela ndo maana hakuna...

Making a custom ROM is actually not all that difficult(but still difficult), kuna tutorials on how to build from the AOSP tree, the problem ni kwamba je does your custom ROM add value to stock android, au ni just another ROM that you won't be able to support and can't make it usable on many devices and all that...

Kuna jamaa mmoja hapa bongo a while back was working on creating his own Ubuntu based distro tailored for an average Tanzanian by including all the necessary applications available by default and he even translated the installer to swahili, it was a good effort but didn't kickoff all that well due to maintaining support for the distro

I believe if there was an initiative and resources to support most of these Huawei, Tecno, Samsung etc mid-range phones that never receive an update after they are flooded in developing markets it would have been great to breath new life to these phones and maybe making a living out of it.... but as it stands sasa hivi we are still at the mercy of XDA developers who are less interested in these mid-range phones.
 
Hivi hapa Bongo kuna mtu kamake ata custom ROM yoyote au tumewaachia XDA TGS

Au kwakuwa mtu apati hela ndo maana hakuna...

Katika nchi ambayo asilimia kubwa wanapenda bure na hata ikiwa free hawatoi donation huwa havitokei vitu vingi vikubwa. Ili tuweze inabidi mtu akianza kitu apate support!

Project nyingi za free (may be commercial) ziliishia kufa kwa kukosa support (ya watu au fedha).
so....:hungry:
 
Hivi hapa Bongo kuna mtu kamake ata custom ROM yoyote au tumewaachia XDA TGS

Au kwakuwa mtu apati hela ndo maana hakuna...

Custom Rom wala sio shida kutengeneza... Sema tu tuna lack resources... mie nimetengeneza custom rom kabisaaa kutoka kwenye stom rom ya simu yangu na inafanya kazi vizuri nilisoma guide xda nikaset vitu vinavyohitajika na nikatengeneza.

kwenye customizations naona android ni windows ya simu...
 
weka screenshots tukupe like basi kijana
 
Katika nchi ambayo asilimia kubwa wanapenda bure na hata ikiwa free hawatoi donation huwa havitokei vitu vingi vikubwa. Ili tuweze inabidi mtu akianza kitu apate support!

Project nyingi za free (may be commercial) ziliishia kufa kwa kukosa support (ya watu au fedha).
so....:hungry:

Mbona Bongo tunaongoza kwa Donation....angalia JF Tanzanite members,JF Gold Members ni wangapi na wametoa sh ngapi maani hizo title ziimeanishwa wazi...

wewe just develop kitu afu weka Option ya donation...weka namba ya Mpesa,Tigopesa,Airtelmoney uone response ya watu....More so hapa JF
Ni kama last time Nyasiro kaja na Dictionary lkn hajaweka option ya Donation wala nn(sijui anaona aibu) na imani watu wangechangia Believe me or not
 
Mbona Bongo tunaongoza kwa Donation....angalia JF Tanzanite members,JF Gold Members ni wangapi na wametoa sh ngapi maani hizo title ziimeanishwa wazi...
Muulize Invisible,Max au Mike ilichukua muda gani watu kuanza kuchangia. Kama wasingevumilia miaka yote JF ingekuwa historia, trust me! Huo utamaduni hatuna. Huwa tunachangia project ambayo tayari iko mbali. Na hapa sio fedha pekee kuna project zinahitaji watu.

vwewe just develop kitu afu weka Option ya donation...weka namba ya Mpesa,Tigopesa,Airtelmoney uone response ya watu....More so hapa JF
Ni kama last time Nyasiro kaja na Dictionary lkn hajaweka option ya Donation wala nn(sijui anaona aibu) na imani watu wangechangia Believe me or not
Nyasiro kaweka hiyo option nina mashaka kama hata elfu 50 zimefika. Kwa sehemu nyingine watu wenye connection wangemsaidia apate dili ya TUKI au kutengenezea mashule. Lakini wapi! Sasa kama hii haijapata support unataka niingie huko? Kasuku MP ilikufa kwa sababu developers wa C++ (ambao wako wengi ti humu) waligoma kutoa muda wao.

Kama hatutabadilika, Tanzania tuna safari bado!
 
Stefano Mtangoo kama ulivyosema JF ilichukua mda watu kuonesha response probably thru kuwambia umuhimu watu wa donation wengi wataweza kuamuka

Mfano soma Thread ya Mkuu Nyasiro https://www.jamiiforums.com/tech-ga...roducing-ese-dictionary-%96-%93kamusi%94.html

Hakuweka hata Images walau zinazoonesha hiyo part ya donation....wala hakuonesha kuongelea umuhimu wa hiyo donation....na wala hakuonesha kuongelea watu waku mlink na hiyo TUKI

Nimesoma soma forums mbali mbali mwisho wa siku developer anapomaliza kuelezea kitu yake mpya anasisitiza donation
Mm naimani Nyasiro siku ile angesisitiza hilo Likes,Comments alizopata ilionesha watu wameikubali kazi hivo angeiwekea mkazo hiyo asingekosa hela ndefu ndefu walau (Ndo maana nikasema sijui developers wabongo wanaogopa ku-insist kwenye donation?)

Taratibu tutafika tena ngoja nimention jina lake kabisa huyu Nyasiro ili siku nyingine aone umuhimu wa hili iwapo aikilete software nyingine au iwapo ataleta version mpya ya hiyo ESE Dictionary
 
Last edited by a moderator:
njunwa wamavoko watanzania hatuna hatuna nature ya kusapoti watu wanaofanya vyema. Umesikia wasanii kibao. Hii jf unayosema angalia ratio ya hao premium members na active members. Wewe tu ungekuwa premium maana nna hakika biashara ya vpn imekulipa zaidi 30k.

Wabongo ni watu wa maneno meeengi kukusifia we mkali ila when comes to kutoa ni ishu...
 
Last edited by a moderator:
weka screenshots tukupe like basi kijana

Usiku umeshafika haya weka sasa

device niliyotumia ni galaxy young duos ambayo huishia gingerbread ila nikasema niiwekee muonekano wa ice cream sandwich

kama mnavyojua mie ni mpenzi wa dark colours.. kwanza nikaanza kwa kubadili background colour iwe dark

1513206_486199171501624_1083586372_n.jpg

Simu niliyoichagua kufanyia ukorokoaji wangi ni galaxy y duos

si mnajua Quick panel yake ina features chache tu, nikaweka nyingine ambayo ina features nyingi
1609595_486196931501848_1794991582_n.jpg

nikaondoa ma bloatware mengi na kureplace na app nizipendazo kwa mfano nilitoa stock music player na kuweka Sony Walkman as default player ambayo kwangu ina features nnazotaka kuliko yao

1544985_486196928168515_1008669133_n.jpg

nikabadili stock launcher nikaweka holo launcher ambayo inaload faster tu pia auto rotate kwenye home screen, nimeweka default wallpapers za ice cream sandwich
1536748_486199174834957_1648444738_n.jpg

nikaongezea option ya keyboard ingine
1545546_486197601501781_1885311457_n.jpg

mwisho nikachezea settings

1010458_486197594835115_2087596048_n.jpg

hivo ni vitu vinavyoonekana tu ila niliweka adblocker ili kuzuia matangazo ya google kwenye app za bure kwa kubadili default host file
pia nika increase performance kwa kucheza na default settings

pia nimeweka startup screen ya ice cream sandwich (nimeshindwa kuipiga picha)

pia nimebadili ringtone zooote hasa kale ka default ka sms ambako kila mtu anako utasikia (tutu tuuuutu) sikapendi

mwisho nikatengeneza flashable zip (ambayo iko rooted maana uwa napoteza vile vi file vya update.zip) ambayo ina installer itakayokuguide wakati wa kuiweka rom

Lengo langu ilikuwa ni kupata look n feel ya ice cream sandwich ndio maana hata icons ilibidi nitumie za ice cream sandwich(nnazo icon zingine tofauti)

Nimeitengeneza kwa ajili ya kujifunza pia matumizi yangu binafsi msiniambie nii upload
 
njunwa wamavoko watanzania hatuna hatuna nature ya kusapoti watu wanaofanya vyema. Umesikia wasanii kibao. Hii jf unayosema angalia ratio ya hao premium members na active members. Wewe tu ungekuwa premium maana nna hakika biashara ya vpn imekulipa zaidi 30k.

Wabongo ni watu wa maneno meeengi kukusifia we mkali ila when comes to kutoa ni ishu...

Mm hiyo ya kuwa Premium member ni matter ya Time tu utkuja kuona tu
sitaki niwe kipindi fulani watu wasije kusema nimeiga au nimekuwa premium member sababu fulani kawa

Yes najua si watanzania wote wenye huo Moyo lkn assume Tumefanya donation watu 20 kila mtu atleast 10k na imani hiyo japo sio kubwa lkn ni bonge a support

Mm nimemtaja Nyasiro aje asome haya maneno Iwapo siku nyingine atakuja na kitu kipya aweke Mbele swala la Donation aone mbona atazipata tu
 
Last edited by a moderator:
Mfano soma Thread ya Mkuu Nyasiro https://www.jamiiforums.com/tech-ga...roducing-ese-dictionary-%96-%93kamusi%94.html..................
Taratibu tutafika tena ngoja nimention jina lake kabisa huyu Nyasiro ili siku nyingine aone umuhimu wa hili iwapo aikilete software nyingine au iwapo ataleta version mpya ya hiyo ESE Dictionary

NOTE 4: Kamusi hii ni ya BURE (Kuwa FREEWARE haimaanishi unaruhusiwa kumodify chochote kile au sehemu yoyote ile ya program hii, kama umeguswa na kazi hii usisite kutoa mchango wako kupitia M-PESA au Tigo-Pesa kupitia namba zilizopo kwenye kamusi kipengele cha donation.
Now wewe na wengine ambao mlikuwa hamjui, do the needful
 
Back
Top Bottom