Android apps za kudownload apps zinazouzwa bure

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,764
Reaction score
32,386
hii nakumbuka kipindi cha nyuma kuna mtaalam aliwahi kuiweka humu ndani. nami niliwah itumia kwenye simu yangu ambayo ilikuja kupata mushkel ( rest in peace my phone) bahati mbaya nimelisahau jina la hiyo application ambayo kama ukiidownload unaweza itumia kwenye simu yako kudownload apps ambazo wanatuuzia ukazipata bure. mwenye kumbukumbu please tusaidiane. ningependa kumwalika pia Chief-Mkwawa na wengineo ambayo kwa bhati mbaya siwakumbuki majina. ila huyu mkwawa tumekuwa tukiwasiliana mara nyingi sana.
 
app gani hasa unazotafuta? unaweza ukatumia hii website

oceanofapk.com
 
Back
Top Bottom