Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Habari wana JF, Natumaini wote mnaendelea salama, Najua kuna watu bado wanasumbuka kutafuta App kwaajili ya tovuti zao za wordpress, Kuliona hilo Tanzania Tech tunawaletea App ambayo mtu yoyote ataweza kufanya iwe ya kwake bure kabisa bila gharama yoyote. Unachotakiwa kufanya ni kuwa na Android Studio kwaajili ya kuweza kuedit app hiyo ili iweze kuwa yakwako. Ndani ya app hii unaweza kuweka matangazo na kujipatia pesa kwaajili ya kazi yako pia unaweza kuiweka Play Store.
App yenyewe ni rahis sana ku-edit kama unataka kuediti unaweza kuuliza swali hapo chini na nitakusaidia kuweza kuediti app huyo kikamilifu. Unaweza kudownload App yenyewe kupitia link hapo chini.
App yenyewe ni rahis sana ku-edit kama unataka kuediti unaweza kuuliza swali hapo chini na nitakusaidia kuweza kuediti app huyo kikamilifu. Unaweza kudownload App yenyewe kupitia link hapo chini.