Andrew Nyerere awatemea cheche TISS

Andrew Nyerere awatemea cheche TISS

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,013
Soma mwenyewe busara za Andrew Nyerere:dah Mungu anisamehe ila vituko vya huyu mzee ni 100 percent Deo kisandu type

andrew nyerere.PNG

andreeew.jpg
 
Sasa anataka hao usalama wa taifa ndio wamkwamue kutoka kwenye hiyo extreme poverty yake?

Kwa akili za huyo jamaa usishangae akawa anataka hao jamaa wakamfagilie nyumba na kumuoshea vyombo ndio maana wanaishia kugombana.

Alafu watu wanalipwaje wamlinde Andrew, yeye ni nani? Hivi bado anaishi kwao?
 
Kusanya akili za ukoo wako mzima, kamwe hamuwezi hata kufikia nusu tu ya IQ ya Andrew Nyerere.
 
wawapeleke hao Tiss wakalinde V.I.P,lkn hata hivyo si anaweza akaomba abadilishiwe walinzi kama napo hataki basi kutakuwa kuna tatizo baina yake na Tiss kiujumla.
 
Back
Top Bottom