Ukiona mwanasiasa mpigaji anamtaja taja Mungu ujue anajivuta kutafuta atatokaje hapo. Hataki kujibu kwa sababu anamjua Magufuli kichaa hachelewi kumdadilikia.Hahahhh Mkulu ana mtindo wa kubadilishabadilisha kauli! Kesho anaweza akasema vinginevyo acha tuone tutaishia wapi! Amesema ni kazi ngumu lakini kama Mungu amemweka basi ataifanya kwa kumtegemea Mungu. Katiba Mpya ndio suluhu ya yote haya period!
ndie nahondha wa timu.. mnaweza kuwa mnacheza ili mpate ushindi kumbe wengine wameuza timuHivi kweli kwa tuhuma zote hizo alizo nazo na hii ya madini,anawezaje kusimama mbele ya bunge na kuwatetea wananchi wa jimbo lake kuwa wanadai hiki na kile wakati pesa ambazo serikali ingepata amezichukua yeye na wenzie wachache,hii si kuitukana serikali kweli? Sehemu ambazo serikali inategemea kupata hela ili waweze kuwasiliza vilio vyenu nyie wabunge ndo mnazichota bila sura ya haya na bado posho ya siku bungeni.Ila mungu anawaona mjue,na siku zenu zimekwisha.
Wakuondoka sio Andrew Chenge, wakuondoka ni the Whole CCM na systems zake watupisheeee nchi wanaimaliza halafu wanajifanya wao ndio waokozi, shame on you miCCM.Ndugu zangu,
Nimeona jana kwenye Tv Andrew Chenge akiwa Mwenyekiti wa Kikao cha Bunge.
Katika mazingira ya sasa, kile cha jana kilipaswa kiwe kikao cha mwisho Andrew Chenge kukiongoza.
Maana, kwa mizoga hii tuliyoonyeshwa kwenye kabati la Chenge, inahitaji ujasiri wa kifisadi kuendelea kukalia kiti cha uenyekiti kuwaongoza Wabunge wa Jamhuri. ' August Session' ni moja ya vikao vya Bunge vyenye hadhi kubwa.
Haviwezi kuongozwa na mtu mwenye tuhuma nzito za ufiaadi na ni dhihaka kubwa kwa Jamhuri inayoongozwa na Rais aliyechaguliwa na aliyesema makubwa jana yenye kumhusisha Chenge pia.
Mimi nadhani, ni wakati sasa, kama Chenge hatajiuzuru mwenyewe nafasi ya uenyekiti Bungeni, Kamati ya Uongozi ya Bunge imshinikize kufanya hivyo. Kazi hiyo si lazima aifanye Kiongozi Mkuu wa shughuli za Serikali Bungeni, Waziri Mkuu.
Maggid Mjengwa.
Picha: Gazeti Mtanzania.
Dah kuna mambo yanakera sana...ila kwa bandiko lako nimecheka sanaMkuu aende wapi sasa??Wenzie wanakumbana na changamoto ya kilimo.Cha mananasi
Ndugu zangu,
Nimeona jana kwenye Tv Andrew Chenge akiwa Mwenyekiti wa Kikao cha Bunge.
Katika mazingira ya sasa, kile cha jana kilipaswa kiwe kikao cha mwisho Andrew Chenge kukiongoza.
Maana, kwa mizoga hii tuliyoonyeshwa kwenye kabati la Chenge, inahitaji ujasiri wa kifisadi kuendelea kukalia kiti cha uenyekiti kuwaongoza Wabunge wa Jamhuri. ' August Session' ni moja ya vikao vya Bunge vyenye hadhi kubwa.
Haviwezi kuongozwa na mtu mwenye tuhuma nzito za ufiaadi na ni dhihaka kubwa kwa Jamhuri inayoongozwa na Rais aliyechaguliwa na aliyesema makubwa jana yenye kumhusisha Chenge pia.
Mimi nadhani, ni wakati sasa, kama Chenge hatajiuzuru mwenyewe nafasi ya uenyekiti Bungeni, Kamati ya Uongozi ya Bunge imshinikize kufanya hivyo. Kazi hiyo si lazima aifanye Kiongozi Mkuu wa shughuli za Serikali Bungeni, Waziri Mkuu.
Maggid Mjengwa.
Picha: Gazeti Mtanzania.
Ajiuzulu kwa tuhuma ambazo hata hajapewa nafasi ya kuzijibu?Ndugu zangu,

Nyie watu wa ajabu kweli kweli
Kwamba ndio mmejua leo kuwa Chenge hafai?
Mlivyomchagua kuwa mwenyekiti wa Bunge kwa kura nyingi za wabunge wa CCM hamkujua?
Hebu msituchoshe na msitufanye wajinga kwa makosa yenu mnayofanya kila siku.
Waingereza walirudisha chenji ya Rada Bil 40 na ushee na SFO ikasema kabisa Chenge amehongwa...Mlifanya nini?
Msituchoshe wezi nyie CCM