Jana alisemaje au alifanya nini mkuu hari akawashinda kwa diplomasia?Huyu jamaa ni jizi kubwa (jambazi kuu)
Sema jamaa katushinda akili Watanzania woote mil 55 ndio maana hatuwezi kumpeleka mahakamani..
Ningekuwa mmoja wa wasiojulikana mimi ningetumia nguvu tu nisingempeleka mahakamani wala nini ningefanya umafia tu nikamteka.. maana jamaa kwa diplomasia hatumuwezi
Chenge huyu huyu?Tofauti na vile wengi wanavyokuchukulia mimi ni miongoni mwa watu
wanaokuamini, wewe ni Mjanja na msomi mwenye hadhi pia, naamini
kama utashika hiki kijiti tutasonga mbele.
Wakati umefika sasa wa kutumia elimu yako kuipeleka Tanzania kule Tunakohitaji
Chenge tunakuhitaji 2020
Sie wa TeamLowassa tunaruhusiwa ku comment humu?Tofauti na vile wengi wanavyokuchukulia mimi ni miongoni mwa watu
wanaokuamini, wewe ni Mjanja na msomi mwenye hadhi pia, naamini
kama utashika hiki kijiti tutasonga mbele.
Wakati umefika sasa wa kutumia elimu yako kuipeleka Tanzania kule Tunakohitaji
Chenge tunakuhitaji 2020
HahahaHuyu jamaa kiboko!!! walimtuhumu kwenye escrow katika kile kikao cha kupitisha maamuzi nakumbuka kilienda mpaka usiku kabisa akina Lisu wakachoka na kushindwa nini cha kufanya, basi ikabidi yeye tena awe anawashauri namna ya kuandika yapaswayo kutekelezwa na serikali pale nilimnyooshea mikono.
Kwa mtanzamo wangu nadhani Magufuli,JK na mkapa ni hatari zaidi kuliko chenge,sema tu Chenge anaakili mingi Sana kiasi kwamba watanzania wengi waliopata hii elimu ya ccm ni ngumu Sana kumuelewaHuyu jamaa ni jizi kubwa (jambazi kuu)
Sema jamaa katushinda akili Watanzania woote mil 55 ndio maana hatuwezi kumpeleka mahakamani.
Ningekuwa mmoja wa wasiojulikana mimi ningetumia nguvu tu nisingempeleka mahakamani wala nini ningefanya umafia tu nikamteka.. maana jamaa kwa diplomasia hatumuwezi
Kama ni Hivyo Chenge anafaa.Huyu mwamba A. Chenge n mwamba usiotikisika, n muasisi wa katiba ya Tanzania kwa maana hyo katiba anaijua nje ndani yani humuambii chochote, pia ni msomi mwenye akili mingi kupambana nae unatakiwa kuwa na akili mingi pia sio papala utachemka na utamlipa fidia ndio maana jiwe kawa mpole hahahaaaa.
Jini lileHuyu jamaa kiboko!!! walimtuhumu kwenye escrow katika kile kikao cha kupitisha maamuzi nakumbuka kilienda mpaka usiku kabisa akina Lisu wakachoka na kushindwa nini cha kufanya, basi ikabidi yeye tena awe anawashauri namna ya kuandika yapaswayo kutekelezwa na serikali pale nilimnyooshea mikono.
Huyu jamaa kiboko!!! walimtuhumu kwenye escrow katika kile kikao cha kupitisha maamuzi nakumbuka kilienda mpaka usiku kabisa akina Lisu wakachoka na kushindwa nini cha kufanya, basi ikabidi yeye tena awe anawashauri namna ya kuandika yapaswayo kutekelezwa na serikali pale nilimnyooshea mikono.