Andrew Chenge ni wakati wako sasa

Andrew Chenge ni wakati wako sasa

Vijisenti

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
544
Reaction score
330
Tofauti na vile wengi wanavyokuchukulia mimi ni miongoni mwa watu
wanaokuamini, wewe ni Mjanja na msomi mwenye hadhi pia, naamini
kama utashika hiki kijiti tutasonga mbele.

Wakati umefika sasa wa kutumia elimu yako kuipeleka Tanzania kule Tunakohitaji
Chenge tunakuhitaji 2020
 
Huyu jamaa ni jizi kubwa (jambazi kuu)
Sema jamaa katushinda akili Watanzania woote mil 55 ndio maana hatuwezi kumpeleka mahakamani.

Ningekuwa mmoja wa wasiojulikana mimi ningetumia nguvu tu nisingempeleka mahakamani wala nini ningefanya umafia tu nikamteka.. maana jamaa kwa diplomasia hatumuwezi
 
Huyu jamaa ni jizi kubwa (jambazi kuu)
Sema jamaa katushinda akili Watanzania woote mil 55 ndio maana hatuwezi kumpeleka mahakamani..
Ningekuwa mmoja wa wasiojulikana mimi ningetumia nguvu tu nisingempeleka mahakamani wala nini ningefanya umafia tu nikamteka.. maana jamaa kwa diplomasia hatumuwezi
Jana alisemaje au alifanya nini mkuu hari akawashinda kwa diplomasia?
 
Tofauti na vile wengi wanavyokuchukulia mimi ni miongoni mwa watu
wanaokuamini, wewe ni Mjanja na msomi mwenye hadhi pia, naamini
kama utashika hiki kijiti tutasonga mbele.

Wakati umefika sasa wa kutumia elimu yako kuipeleka Tanzania kule Tunakohitaji
Chenge tunakuhitaji 2020
Chenge huyu huyu?
Profesa Mussa Juma Asad ndiye ambaye anafaa
 
Kazi ipo... kuja fika 2020 tutakuwa tumeshaziona rangi zote...
 
Duh jamaa wa gambushi nomaa....Magu hakumfanyia kampeni lkn alitusua
 
Tofauti na vile wengi wanavyokuchukulia mimi ni miongoni mwa watu
wanaokuamini, wewe ni Mjanja na msomi mwenye hadhi pia, naamini
kama utashika hiki kijiti tutasonga mbele.

Wakati umefika sasa wa kutumia elimu yako kuipeleka Tanzania kule Tunakohitaji
Chenge tunakuhitaji 2020
Sie wa TeamLowassa tunaruhusiwa ku comment humu?
 
Huyu jamaa kiboko!!! walimtuhumu kwenye escrow katika kile kikao cha kupitisha maamuzi nakumbuka kilienda mpaka usiku kabisa akina Lisu wakachoka na kushindwa nini cha kufanya, basi ikabidi yeye tena awe anawashauri namna ya kuandika yapaswayo kutekelezwa na serikali pale nilimnyooshea mikono.
 
Hahaha
 
Huyu jamaa ni jizi kubwa (jambazi kuu)
Sema jamaa katushinda akili Watanzania woote mil 55 ndio maana hatuwezi kumpeleka mahakamani.

Ningekuwa mmoja wa wasiojulikana mimi ningetumia nguvu tu nisingempeleka mahakamani wala nini ningefanya umafia tu nikamteka.. maana jamaa kwa diplomasia hatumuwezi
Kwa mtanzamo wangu nadhani Magufuli,JK na mkapa ni hatari zaidi kuliko chenge,sema tu Chenge anaakili mingi Sana kiasi kwamba watanzania wengi waliopata hii elimu ya ccm ni ngumu Sana kumuelewa
 
Pamoja na uzushi mwingi unaomkabili ila mimi namkubali nathani viatu vya uspika vina mfaa sana mtemi Chenge.Ila mkuu Ndungai ameiaibisha nchi sana sana ametupaka kinyesi usoni.
 
Huyu mwamba A. Chenge n mwamba usiotikisika, n muasisi wa katiba ya Tanzania kwa maana hyo katiba anaijua nje ndani yani humuambii chochote, pia ni msomi mwenye akili mingi kupambana nae unatakiwa kuwa na akili mingi pia sio papala utachemka na utamlipa fidia ndio maana jiwe kawa mpole hahahaaaa.
 
Kama ni Hivyo Chenge anafaa.
 
Huyu jamaa kiboko!!! walimtuhumu kwenye escrow katika kile kikao cha kupitisha maamuzi nakumbuka kilienda mpaka usiku kabisa akina Lisu wakachoka na kushindwa nini cha kufanya, basi ikabidi yeye tena awe anawashauri namna ya kuandika yapaswayo kutekelezwa na serikali pale nilimnyooshea mikono.
Jini lile
 
Hana ubora wala ukiboko wowote

CCM hutumia watu kuiba hela kutoka hazina, wahusika hulindwa kwa nguvu zote

CCM wamepitisha fedha za wizi kutoka hazina kwa msaada wa Chenge kama mwanasheria na Rostam Aziz kama mtunza hazina wa CCM wakati huo ... kupitia mikataba Tata na fake

EPA
Pagoda
Deep green
Escrow nk

Hivyo Huwezi kumtenganisha Chenge na madhambi ya ukwapuaji fedha wa CCM hasa nyakati za uchaguzi

Ukimpeleka Chenge mahakamani ujuwe CCM inaumbuka, siri zote anazo Chenge hivyo CCM Haina ujanja kwa Chenge
 
Back
Top Bottom