ANDIKO MUHIMU SANA.

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Anaandika Dr Primus Saidia

Kwako Spika wa Bunge la Tanzania Mh. Tulia Akson

Kwa muda sasa bunge lako linatumika vibaya kubagaza elimu na wabunge wanaojiita wa la saba wakiongozwa na Msukuma.
Karibu kila mara wakisimama wanajaribu kuonesha taifa kwamba wao si wasomi na wamefanikiwa, na mazungumzo yao mara nyingi kama sio zote yanabeza elimu, kinyume na mtizamo, sera, imani namwenendo mzima wa serikali yetu sasa na baadae!
Si kweli kuwa kufanikiwa kupata senti mbili tatu na kumiliki gari moja au mbili ndiyo msingi wa mafanikio kama taifa.
Wasomi walio wengi hata wale waliogundua spika ambazo hawa la saba wanatumia kutukana usomi hawakuwa au hawakuhitaji utajiri. Waliogundua ndege ambazo zinawapeleke hawa wa la saba dunia nzima sio matajiri ila mchango wao ni mkubwa kwa dunia nzima.
Wanaotibu wagonjwa mahospitalini hawapimwi kwa magari wanayoendesha bali kwa wagonjwa wanaopona wakiwepo hawa wanaojiita la saba bungeni.
Nichukue fursa hii kama mtanzania kuwaasa waache hiyo tabia maana inaathiri mtizamo wa watoto wetu na mustakabali wa taifa kwa ujumla.
Pia nikuombe utumie kanuni na kiti chako kukemea kauli za kudumaisha elimu na kama wakiendelea wapate adhabu zinazostahili.
Wabilahi Tawfiq
 
Subiri Sasa darasa la Saba waje!! Utashangaa Sana!! Watakwambia" degree kitu Gani!? Tafuta pesa weweeeee". Muda huo anakula singeli kwenye salun ya mshikaji!
NB : hili ndilo bunge marehemu aliloliasisi na kutaka atawale Milele!!
Unaikumbuka Ile kauli Yao #atake asitake# lazima tuongezee muda!? Hao akina msukuma ndio wangetumika!!
 
Anaandika Dr Primus Saidia

Kwako Spika wa Bunge la Tanzania Mh. Tulia Akson

Kwa muda sasa bunge lako linatumika vibaya kubagaza elimu na wabunge wanaojiita wa la saba wakiongozwa na Msukuma.
Karibu kila mara wakisimama wanajaribu kuonesha taifa kwamba wao si wasomi na wamefanikiwa, na mazungumzo yao mara nyingi kama sio zote yanabeza elimu, kinyume na mtizamo, sera, imani namwenendo mzima wa serikali yetu sasa na baadae!
Si kweli kuwa kufanikiwa kupata senti mbili tatu na kumiliki gari moja au mbili ndiyo msingi wa mafanikio kama taifa.
Wasomi walio wengi hata wale waliogundua spika ambazo hawa la saba wanatumia kutukana usomi hawakuwa au hawakuhitaji utajiri. Waliogundua ndege ambazo zinawapeleke hawa wa la saba dunia nzima sio matajiri ila mchango wao ni mkubwa kwa dunia nzima.
Wanaotibu wagonjwa mahospitalini hawapimwi kwa magari wanayoendesha bali kwa wagonjwa wanaopona wakiwepo hawa wanaojiita la saba bungeni.
Nichukue fursa hii kama mtanzania kuwaasa waache hiyo tabia maana inaathiri mtizamo wa watoto wetu na mustakabali wa taifa kwa ujumla.
Pia nikuombe utumie kanuni na kiti chako kukemea kauli za kudumaisha elimu na kama wakiendelea wapate adhabu zinazostahili.
Wabilahi Tawfiq
Sawasawa 👍 💯
 
Pengine maamuzi wa wasomi wetu ndio sababu ya hayo yote.
Wasomi wanapoamua mambo makubwa kama darasa la saba.
Wasomi wanapopitisha mambo kwa mihemko..
Wasomi
Wasomi.
 
Msukuma anazeeka KIsuKUMA sana. Hajui hata sheria inayomuweka bungeni na kumpatia marupurupu imetungwa na wasomi
 
Pengine maamuzi wa wasomi wetu ndio sababu ya hayo yote.
Wasomi wanapoamua mambo makubwa kama darasa la saba.
Wasomi wanapopitisha mambo kwa mihemko..
Wasomi
Wasomi.
Naamini hii ndio sababu kubwa!

Mambo yaliyofanywa na hao so called wasomi kwenye escrow, Richmond, Kashfa ya Lugumi, na mikataba mingine ya ovyo ovyo ndio imepeleka watu kuwaona wasomi kama kisomo chao hakina faida sana kwa nchi zaidi ya kuididimiza na kuiharibu!

Lakini sidhani kama Wana maanisha elimu kama elimu kwamba haina faida! Bali wanachokusudia ni kwamba baadhi ya wasomi waliosomeshwa na taifa ili waje kulisaidia taifa ndio wamegeuka na kuwa wauaji na waharibu wa taifa letu hasa kwenye mikataba mibovu na ubadhirifu yaani ufisadi.
 
Anaandika Dr Primus Saidia

Kwako Spika wa Bunge la Tanzania Mh. Tulia Akson

Kwa muda sasa bunge lako linatumika vibaya kubagaza elimu na wabunge wanaojiita wa la saba wakiongozwa na Msukuma.
Karibu kila mara wakisimama wanajaribu kuonesha taifa kwamba wao si wasomi na wamefanikiwa, na mazungumzo yao mara nyingi kama sio zote yanabeza elimu, kinyume na mtizamo, sera, imani namwenendo mzima wa serikali yetu sasa na baadae!
Si kweli kuwa kufanikiwa kupata senti mbili tatu na kumiliki gari moja au mbili ndiyo msingi wa mafanikio kama taifa.
Wasomi walio wengi hata wale waliogundua spika ambazo hawa la saba wanatumia kutukana usomi hawakuwa au hawakuhitaji utajiri. Waliogundua ndege ambazo zinawapeleke hawa wa la saba dunia nzima sio matajiri ila mchango wao ni mkubwa kwa dunia nzima.
Wanaotibu wagonjwa mahospitalini hawapimwi kwa magari wanayoendesha bali kwa wagonjwa wanaopona wakiwepo hawa wanaojiita la saba bungeni.
Nichukue fursa hii kama mtanzania kuwaasa waache hiyo tabia maana inaathiri mtizamo wa watoto wetu na mustakabali wa taifa kwa ujumla.
Pia nikuombe utumie kanuni na kiti chako kukemea kauli za kudumaisha elimu na kama wakiendelea wapate adhabu zinazostahili.
Wabilahi Tawfiq
Huyo Musukuma anajulikana kwa ushirikina wake na ndicho anachotambia.
 
Huwa najiuliza msukuma hupo vile na analipwa mipesa ya bunge kiiibao na ana miradi sijui ingekuwa kama angekuwa mpiga debe !!!
 
Back
Top Bottom