Andika "LoL" kama umeelewa picha.

Kama ndio hivyo sioni kitu cha kuchekesha kwenye hiyo picha
Hahaha pole, ni kua jamaa amephotoshop picha yake akiwa na mdada mkali lakini akajisahau kutoa picha ya mkono wa mtu ambae alikua kwenye original picha... angalia ubavu wake wa kushoto utaona mkono...lol.
 
Zawadi yako ni kua umepimwa kipimo cha macho huhitaji kula carrot... lol.
Dah sasa macho ya aina hiyo ni ya nini siku hizi wakati coin zilishaishaga thamani. Alafu na zile sindano tulizokuwa tunaokotea bibi zetu zilishapitwa na wakati. Ungetupia tu kazawadi au angalau hata kacheti. Kuwa na utu sistah. :D
 
Hahaha pole, ni kua jamaa amephotoshop picha yake akiwa na mdada mkali lakini akajisahau kutoa picha ya mkono wa mtu ambae alikua kwenye original picha... angalia ubavu wake wa kushoto utaona mkono...lol.
Hilo nililigundua kitambo sana ila sijaona kama ni jambo la kuchekesha.. pengine tunatofautiana hisia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom