InnovatorTz
Member
- Jul 1, 2016
- 23
- 23
ni hapa hapa JF kichwa cha habari na yaliyomo ndani haviendani
Ha,haaaaa......ni hapa jf pekeeni hapa hapa JF kichwa cha habari na yaliyomo ndani haviendani
Ni Tanzania pekee mtu anajiita InnovatorTz ilihali hajawai kufanya Innovation yoyote.
No Tanzania pekee,nimesoma kichwa cha thread hii nikashindwa kukielewa mpk niliporudia mara3,
Hahahaaaaa!! Daah! Umetisha mkuu,nimecheka sana aisee!!ni hapa hapa JF kichwa cha habari na yaliyomo ndani haviendani
Ni Tanzania Pekee Ukigoogle "wanafunzi wa chuo" unapata Video za Ngono badala ya kile wasomacho vyuoni.
thread#Nitanzania pekee mtu haelewi kichwa cha habari cha thead lakini ana andika maoni yake
DhaniHahah boss mimi ni innovater kuliko unavyo Zani #Nimtanzania pekee niliye fanya mabadiliko katika sector ya fashion