"The fact is, I'm gay," Cooper wrote in an email to Daily Beast blogger Andrew Sullivan. "Always have been, always will be, and I couldn't be any more happy, comfortable with myself, and proud."
Anderson Cooper:
Alaaaaa, kumbe huyu jamaa ni chakula cha watu!!!!! Duh! Kaaazi kwelikweli.
Hivi inawezekana hili ni 'tatizo' kubwa kuliko tunavyodhani!
huna haja ya kuweka mada kama hizi
Mkuu hii ilikuwa ni angalizo tu, kwani kama anchors wa mainstream media ambao watu wengi wana wachukulia kama ma role model wao wanaanza kutangaza huu ***** ujue tumekwisha!