Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,639
kwani shida ni nini? Si mnamuoa wote wawili Bwa mkubwa na Bwa mdogo
cc: Heaven on earth, figganigga na mwenyekiti Baba V
babe figganigga Morning..........file letu si ulishampelekea au bado.....mwishowe litapata vumbi tu
afu mkeo Heaven on earth anakutafuta
Kama kumbukumbu zangu zinanitendea haki nakumbuka wewe mwenyewe ulinambia mnajipanga then mtanambia, na mimi nilikuwa nasubiri kauli yenu.
yaani tunasubiri kufungishwa ndoa tu babe. mimi sijambo japo huyu Baba V simuelewi kabisa. tufanyeje mpenzi wangu?. mia
asante kwa ujumbe. tumeshaonana. vipi utakuja kwenye harusi yangu na Heaven on earth? karibu sana. mia
kweli. nmetoka muda si mrefu. mia
Heaven on earth....siamini nionacho hapa
Tuvumilie kidogo babe si unajua ye ndio kashikilia makali!!!!!!
Babe ila umekaa mda mrefu huko ibadani..........
ni ibada kweli au kuna mengine yalikua yanaendelea
kwani shida ni nini? Si mnamuoa wote wawili Bwa mkubwa na Bwa mdogo
cc: Heaven on earth, figganigga na mwenyekiti Baba V
u are micd with this sweet inlaw of yours!!!
Mhhh! hapa kuna miss world wa Filipo hapo hapo kuna ndoa ya figganigga na Heaven on earth humo humo Vin Diesel kafumania duh!
Mhhh! hapa kuna miss world wa Filipo hapo hapo kuna ndoa ya figganigga na Heaven on earth humo humo Vin Diesel kafumania duh!
Una ghubu mwanamke wewe hadi aibu
mambo mkuu. Heaven on earth nlishakutambulisha kwamba ni wifi yako. tunataka kufunga ndoa tusije pata mtoto wa nje ya ndoa coz hatuvai socks so nikaona bora tufunge ndoa sababu kila mmoja anamfikisha mwenzie vizuri tu kunako 6 kwa 6. huyo Vin Diesel ni mchawi anataka eti kumchezea tu heaven on earth na anatumia nguvu yake kuhakikisha anavunja uhusiano wetu. but mimi na heaven tunampuuza tu. nimemwambia bora amrudie mwanampwapwa wake lol...hahahahaaa...!!!. mia