Eeee ndo maana hii series haijatikisa iko ki drama sanaIle single movie aliyoicheza brad pitt..ndio ilikua fire sana.
Napendaga sana zile moments mishale ya moto inapo rushwa na kudondoka kama mvua.
#MaendeleoHayanaChama
Ila hobbit:battle of the five army ina moment hizoIle single movie aliyoicheza brad pitt..ndio ilikua fire sana.
Napendaga sana zile moments mishale ya moto inapo rushwa na kudondoka kama mvua.
#MaendeleoHayanaChama
Umeipendea nini hiyoSpartacus[emoji91][emoji91]
Bado nimetafuta Sana hicho kitabu nimekosa alafu kimejuisha story zote za zile movie Tatu...hii movie nimeangalia zaidi ya mara 7 na hainichoshiKitabu chake umesoma?
Duuu kweli bado nipo gizani mkuu hii movie unaenda kutoka kwenye upande wa series?? Acha niendelee kusubiri SeptemberYaah kuna lord of the rings:the rings of the power series upcoming View attachment 2296879
Nayo ni kali Sana pia ongeza na JACK THE GIANT SLAYERSeventh son.
#MaendeleoHayanaChama
Vitu vyote over 18 anatakiwa kuviona humo atavipataUmeipendea nini hiyo
SureVitu vyote over 18 anatakiwa kuviona humo atavipata
Jack the giant slayer action yake so kaliNayo ni kali Sana pia ongeza na JACK THE GIANT SLAYER
Yaah amazon prime video ndo wanaitoaDuuu kweli bado nipo gizani mkuu hii movie unaenda kutoka kwenye upande wa series?? Acha niendelee kusubiri September
Nilibahatika kupata kitabu (hard copy) from a friend nae anaipenda The hobbit balaa akatoa kama zawadiBado nimetafuta Sana hicho kitabu nimekosa alafu kimejuisha story zote za zile movie Tatu...hii movie nimeangalia zaidi ya mara 7 na hainichoshi
Hivi app gani unaweza kuvisoma hivi vitabuNilibahatika kupata kitabu (hard copy) from a friend nae anaipenda The hobbit balaa akatoa kama zawadi
movie za hii genre hii ni nzuri sana sababu zina vitabu vyake
Yaah amazon prime video ndo wanaitoa
Kweli amazon prime video anakuja kwa kasi IMDb inampa advertising ya nguvuKama mimi ningekuwa Netflix i’d be very careful with amazon prime, naona hawa jamaa siku hizi wanakuja na vigongo kwa hasira tofauti na miaka ya nyuma wamechangamka sasa...
Netflix siku hiz wanakera toka wagundue tabia ya kutengeneza Movie kwa kutupia watu maarufu kibao humo ndani, wanajua utaangalia tu sababu A-listers wamejaa(Red Notice & Gray Man)
Usisahau mlejeshoNgoja kwanza nikaitafute hiyo 300 rise of an empire
Nalog off Z
Mimi huwa napenda vitabu hard copy makaratsi kabisa ilaHivi app gani unaweza kuvisoma hivi vitabu
Ngoja nijaribu Google na hard copy unanunua app ganiMimi huwa napenda vitabu hard copy makaratsi kabisa ila
Kwa app kuna amazon kindle kama pesa sio tatizo kwako, na kama ni mchumi
Nenda google andika jina la kitabu likifuatiwa na neno PDF hifadhi kwenye google drive tayar kwa kusoma