Mkuu akina dada wanafanyiwa unyama unaochefusha wengine wanabakwa,kumwagiwa maji ya moto na ukatiri mwingine, inauma sana.Kuna yule dada mweusi alikatwa Kichwa huko Uarabuni. Ilisikitisha Sana.
Hata wewe ni mtu mweusi lakini huwapendi wayahudi kwahiyo sioni sababu ya myahudi kumpenda mtu ambaye haaminiki.<iframe width="560" height="315" src="YouTube" title="YouTube video player" frameborder="0" allow="accelerometer; autoplay; clipboard-write; encrypted-media; gyroscope; picture-in-picture" allowfullscreen></iframe>
Shida Ukiingia Katika dini ile unasistizwa Adui yako mkubwa ni MAYAUDI NA MANASWALA...taratibu unaanza kujenga chuki kwa watu hao bila sababu ya msingi.Hata wewe ni mtu mweusi lakini huwapendi wayahudi kwahiyo sioni sababu ya myahudi kumpenda mtu ambaye haaminiki..
Yes, tatizo linaanzia hapo. Ndio maana kuna msemo kuwa dini haijawahi kutatua mgogoro wa aina yoyote.Shida Ukiingia Katika dini ile unasistizwa Adui yako mkubwa ni MAYAUDI NA MANASWALA...taratibu unaanza kujenga chuki kwa watu hao bila sababu ya msingi.
2016... Wamatumbia wa Africa ya magharibi walikuwa wanataka kuvuka boda kwa nguvu (bila VISA) kwa dhumni la kwenda kujiripua ili kuitetea palestina.