Anayopitia Cyprian Musiba yanatukumbusha kuwa tusiishi kwa kumtegemea mwanadamu kama kinga

Haaaaahaaaaaaa kupitia ukurasa wake wa twitter simpendi musiba na anayoyapitia anastahili ila lile ni parody watu km wale yakishawakuta wanajilaumu kimoyomoyo huwa hawakiri hadharini abadan!
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, mwanaharakati huru aliyekuwa maarufu sana hasa katika awamu ya tano, Bwana Cyprian Musiba, ameomba Watanzania wamuombee kwani anapitia wakati mgumu!

................................

Hoja na Mambo ya kujifunza

a) Watanzania wote ni ndugu, wanasiasa wasituvuruge kwa kututumia wanavyotaka

Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, unakumbuka enzi hizo ukijinasibu kwa hoja za kudhalilisha na kutukana wapinzani wa viongozi wa chama chako? Hukujua kuwa hao pia ni Watanzania?

Mbona hukuwaomba CCM peke yao wakuombee na badala yake umeomba Watanzania wakuombee?
Mwanzon hukujua kuwa Watanzania Wana itikadi ya vyama tofauti??

b) Usimtegee Mwanadamu katika maisha haya Duniani hapa

Katika hili Hata Bible imezungumza ya kuwa 'Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu Kama Kinga yake'

WanaCCM hapa Kuna Jambo la kujifunza, mkipata dhamana mnapenda Sana kunyanyasa watu badala ya kusimamia weledi wenu, mnajiona kwa kuwa mmeteuliwa basi hakuna atakayewang'oa kwenye vyeo mlivyopachikwa.

Musiba alikua well connected na Jiwe, vpi baada ya kuondoka kwa Jiwe?
Sabaya alikua well connected na Jiwe, vpi baada ya kuondoka kwa Jiwe?

Tufanyeni siasa Safi zisizo za kuchafuana, siasa zenye kuheshimu utu wetu. Tukumbuke aliyepewa mamlaka ya kuteua kaumbwa pia na Mwenyezi Mungu na pumzi na uhai viko mikononi mwa Mungu!

View attachment 1889110
Alipe billion 7 au akaolewe Zanzibar huko
 
Account zake zili be hacked je zilirejeshwa!!!! Hii itakuwa fake news
 
Yale aliyofanya arrogantly alikuwa anategemea nini? Professionalism has its ways of application. Ule ulikuwa uduanzi. Kuwashambulia watu hadharani tena bila evidence ni makosa.
 
Atajiua we subiri haamini mateso anayopitia
Wamemfinya kidogo..halafu kimyakimya
IMG-20210812-WA0028.jpg
 
ALISAHAU ULE MSEMO WETU WA WASWAHILI, HESHIMU WATU SPONSOR HUFA. KWA HILI LILILOMKUTA NDUGU CYPLIAN MUSIBA AMA KWELI KAMWE USIMTEGEMEE BINADAMU HAPA KUNA KITU CHA KUJIFUNZA KWA WENGINE WENYE TABIA KAMA ALIZOKUWA NAZO HUYU BWANA.
 
Malipo ni hapa hapa duniani mbinguni kufunga mahesabu tu

Wakishapataga vimungu mtu vyao hapa duniani wanasahaugi kama kuna kufa na kuwa kuna muumba mkuu aliye juu ya vyote

Now the tables have turned
 
Back
Top Bottom