Musukuma na Kibajaji wana lengo la kumnyamazisha Cyprian Musiba kwa maslahi ya makundi ndani ya CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,472
141,176
Wenye akili wameshang'amua kwamba hawa akina Kibajaji na Musukuma wameingilia mchakato wa mwanaharakati huru Cyprian Musiba kwa lengo la kumdhoofisha

Kama umefuatilia sarakasi hizi vizuri utagundua kuwa tangu Musiba aseme kuwa anayo ripoti ya Dr Bashiru yenye orodha ya waliofisadi mali za chama ndio limeibuka hili genge " linalojifanya" kumuunga mkono kumbe ni fix tupu.

Alianza Bashe Musukuma na sasa Kibajaji.....nani asiyelikumbuka lile genge la friends of Lowassa?....... Kwani lilikufa?!!!
Nani waliofaidika zaidi na mali za CCM especially kule UVCCM?.......usitarajie hawa wawe marafiki wa kweli wa Musiba hawa wana lao jambo.

Wale wahenga wataikumbuka ile picha iliyosheheni wanyama mbalimbali wakiwemo Chui na Sungura ikiitwa Urafiki wa Mashaka, ndio hii sasa ya akina Bashe na Musiba.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
 
Yule Mchungaji mdhamini wa Umber rutty kumbe ndie Mchungaji wa Mwanaharakati huru. Musiba anaetisha Mkesha wa kumuombea Mwanaharakati huyo ‘Mchamungu Mzalendo’
Yah we jamaa nimegundua unaa akili ndogo sana
reasoning yako ipo below average
 
Yule Mchungaji mdhamini wa Umber rutty kumbe ndie Mchungaji wa Mwanaharakati huru. Musiba anaetisha Mkesha wa kumuombea Mwanaharakati huyo ‘Mchamungu Mzalendo’
Huo mkesha si wataenda kulawitiana tu huko? Na katika huo mkesha atakayeongoza praise & worship team ni Nabii Titto.
 
Yule Mchungaji mdhamini wa Umber rutty kumbe ndie Mchungaji wa Mwanaharakati huru. Musiba anaetisha Mkesha wa kumuombea Mwanaharakati huyo ‘Mchamungu Mzalendo’
Maji ya moto yamekuwa baridii...!
 
Yule Mchungaji mdhamini wa Umber rutty kumbe ndie Mchungaji wa Mwanaharakati huru. Musiba anaetisha Mkesha wa kumuombea Mwanaharakati huyo ‘Mchamungu Mzalendo’

Screenshot_2019-07-20 https www jamiiforums com threads mkesha-mkubwa-wa-kumuombea-cyprian-mus...png
 
Back
Top Bottom