Anayeweza kutengengeneza tanki la kukusanya maji ya mvua

BabuLeo

Member
Sep 12, 2018
29
13
Wadau ninatafuta mtu anayeweza kutengeneza tanki la chini kwa ajili ya kukusanya maji ya mvua. Eneo ni Mlandizi Mbwawa. Naomba unipe na makadirio ya gharama mfano tanki la lita 50,000 gharama itakuwaje.

Karibuni
 
Tanki au kisima?!kama ni kisima basi Kisima cha kisas wengi wanachimba m5
 
Chimba shimo la ukubwa unaotaka

Nunua simtank la liter unazotaka

Dumbukiza huko shimoni,tafuta mafundi wafukie simtank

walijengee vizuri sana,nakuhakikishia utapata kitu kimoja

Safi sana na kitakachodumu miaka na Miaka
 
Back
Top Bottom