Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,716
- 39,804
i beg to differ mkuu, kuna simu zina mah 2600 zinakimbiza simu za mah 5000, size pekee haina tija bila kuangalia processor, manufacturing process, display etcMzee sikatai point yako,
Simple physics
High performance = High powe consuption
Ila factor ya kwanza kwa simu kukaa na charge ni uwezo mkubwa wa battery,
Ila baada ya hapo ndio processor inaingia..
Na hapa ili ueleweke inabidi uchukue simu mbili zenye ujazo sawa wa battery lakini zinazotumia processors zenye uwezo tofauti,
MFANO
A- series zinagonga Mpaka 5000mAh mfano A31, huu mzigo si haba,
S20 ultra naye ana 5000mAh ila hamfikii A31 sababu ya Chipset yake..
Baada ya hapo kuna factor nyingi piaa,
Kwahio mi naona bado Battery size Matter.
MTOA MADA
Nakukumbusha samsung "M" series ndio kiboko ya charge, hizo "A" series zikasome.
Zinagonga 6000mAh...
Za 7000mAh zipo njiani.