Anayeuza namba ya uwakala(Till number) ya Voda

RORYA79

Senior Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
130
Reaction score
61
Kama kichwa cha Habari hapo juu kinavyojieleza, kama kuna mtu anayeweza kuniuziaa hiyo kitu itapendeza sana. Na ningependa kujua kama kuna madhara yoyote ya kutumia till namba ya mtu mwingine naomba msaada wenu tafadhari.
 
Madhara.
Utakapopata tatizo ukaenda vodashop watakuomba vitambulisho. Sasa hapo ndiyo shida inapoanzia
 
Kwani Hairuhusiwi kisheria ndugu.
Kimagumashi inawezekana ila likitokea la kutokea ndio shida na kwa sasa voda wamebana sana ukipoteza till kuiludisha mpaka uwe na document zote hebu fikiria ikipotea na hela itakuwaje
 
Sasa kuna utaratibu gani wa kufanya ili nipate yangu mwenyewe?
 
Unabadilishiwa Kwa majina yako!unaenda na vitambulisho vyake,unaomba kubadilisha jina!nmeshafanya ivyo!ata Tigo pia ivyo!ninazo till kibao nmebadilisha Kwa majina yangu zte.
 
Kama kichwa cha Habari hapo juu kinavyojieleza, kama kuna mtu anayeweza kuniuziaa hiyo kitu itapendeza sana. Na ningependa kujua kama kuna madhara yoyote ya kutumia till namba ya mtu mwingine naomba msaada wenu tafadhari.
Till za kununua sio nzuri wakiifungia au labda kurenew kama imepotea bila Tin namba, lesen na kitambulisho cha muhusika alichotumia kutengeneza lain haupati laini hata kama ina hela imekula kwako
 
sasa hapo shida unakuta till umeisha uzwa kwa watu zaidi ya 10 hlf mwenyewe alietengeneza hajulikan
 
Voda Walipigwa Pesa Ndefu Sana, Zaidi Ya 260m Na Wafanyakaz Wa Palepale Wanaorenew Till Za Uwakala So After That Wakawa Very Strict
Leseni 1-Till 1 Wakati Tigo Na Airtel Unaweza Tumia The Same Leseni Kutengenezea Till 2,3 Na Kuendelea.
So Till Za Voda Zimepungua Sana Sokoni
 
Back
Top Bottom